Can you date a guy without asking him for Money?

Warembo let's be honest here...Huyo anaekupa hela siku mkiachana lazima utalazimika kuwa na mwingine mwenye hela ili uendelee kuwa na life style unayotaka....sasa inatofauti gani na kujiuza??? (Samahanini kama nitawakwaza)
Halafu mahusiano ya kupewa hela hayakupi uhuru; utashindwa kuwa na maamuzi , atakutumia anavyopenda mbaya zaidi atakunyanyasa au kukudhalilisha kwasabu amekununua.
Raha ya mahusiano in my opinion ni kupanda zawadi akupe na wewe umpe.Suala la hela ni pale ukikwama akusaidie na wewe akwama mpe.
Maybe I'm too old school ila siwezi kukubali mwanaume ninae mpenda anipe hela ili kununua upendo wangu.
Mimi even if we go for a date we'll split the bill if we have to!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanitisha Sasa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndo ukweli.
Hata sikutishi.

Kwenye mapenzi sisi tunaprovide vingi sana hasa hisia na mambo mengi mengiiiiii.

Wao jukumu lao ni kututunza.
Yes hata kama si kwa kila kitu lakini kwa kiasi fulani unaona kaonyesha uanaume wake.
Siyo uanaume kuvaa taulo
 
Hebu acheni kuwaendekeza hawa viumbe, ndio maana wanakauwa viumbe vya ajabu ajabu. Hebu siku moja moja kama hajiongezi mstue na hitaji la hela ilochangamka nae achangamke ajue yeye ni nani.
@ Jael Why would u ask for money from a guy u’re dating for the first site or always? Do u need a loan or do u just want money from him? I don’t think either is a good choice aseeeeeh, ndio maana siku hizi mahusiano ya wadada na Vijana hata hayadumu.
 
[emoji16][emoji16] dah eti ananibinjua, ila sometimes mwanamke akikuomba hela ukamtimizia unajihisi kidume
Unaona sasa unakuja kule kule huo ni ukweli ninaona kabisa akiwa amenipa baadae message zake.

Au ile mfano kahisi kuna kamtu kanamendea ule mkwara wake sasa mostly anakuwa pride na alivyotoa na anavyotoa.
 
Warembo let's be honest here...Huyo anaekupa hela siku mkiachana lazima utalazimika kuwa na mwingine mwenye hela ili uendelee kuwa na life style unayotaka....sasa inatofauti gani na kujiuza??? (Samahanini kama nitawakwaza)
Halafu mahusiano ya kupewa hela hayakupi uhuru; utashindwa kuwa na maamuzi , atakutumia anavyopenda mbaya zaidi atakunyanyasa au kukudhalilisha kwasabu amekununua.
Raha ya mahusiano in my opinion ni kupanda zawadi akupe na wewe umpe.Suala la hela ni pale ukikwama akusaidie na wewe akwama mpe.
Maybe I'm too old school ila siwezi kukubali mwanaume ninae mpenda anipe hela ili kununua upendo wangu.
Mimi even if we go for a date we'll split the bill if we have to!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe dada umezaliwa bongo bahati mbaya ingetakiwa uwe uko uphilipino
 
@ Jael Why would u ask for money from a guy u’re dating for the first site or always? Do u need a loan or do u just want money from him? I don’t think either is a good choice aseeeeeh, ndio maana siku hizi mahusiano ya wadada na Vijana hata hayadumu.
Msisingizie mahusiano hayadumu kisa kuombwa hela bwana we!! We ukishindwa kuendesha mahusiano yako ni wewe tu usisingizie mambo madogo ambayo hayahusiani.

Ila mr ingilishi kwanini nawe usubiri kuombwa? Si utoe tu?
 
Unaona sasa unakuja kule kule huo ni ukweli ninaona kabisa akiwa amenipa baadae message zake.

Au ile mfano kahisi kuna kamtu kanamendea ule mkwara wake sasa mostly anakuwa pride na alivyotoa na anavyotoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom