Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Yaani nilipe kodi halafu ujilete kabisa bila hata aibu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ten hachangii.
Atakuja kila jioni na ndizi mbili za kulia ubwabwa [emoji23][emoji23][emoji23] na rimoti atashika kubadilisha channel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa unajua hata msitulaumu wanawake. Siku hizi mapenzi ya kweli hakuna wanawake wameshajua wanaume wengi siku hizi siyo waoaji wanapiga na kusepa kwahiyo nao wanahakikisha unapopiga na kusepa lazima ugharamikie.

Kumbuka mnapochezeana baadaye jamii itakuja mnyooshea kidole mwanamke kuwa yeye ndiye malaya na hafai kuolewa ila mwanaume aahh ataoa fresh tu kwahiyo kwa upande huo mwanamke anakuwa kapoteza. Sasa na yeye atajipoza wapi kama siyo kwenye pesa hiyo inaitwa "nipotezee muda nikupotezee pesa".

Huu mchezo bwana hauhitaji hasira

Tit for tat is a fair game
 
Ten hachangii.
Atakuja kila jioni na ndizi mbili za kulia ubwabwa [emoji23][emoji23][emoji23] na rimoti atashika kubadilisha channel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani anaanzaje kuja kwanza!!![emoji134][emoji134][emoji134]
Atakuwa amekosa aibu kiasi hicho kweli? Wa hivyo anaweza hata kunya njia pandachana kweupeee, sio kwa kukosa adabu huko!!!
 
Hapa unajua hata msitulaumu wanawake. Siku hizi mapenzi ya kweli hakuna wanawake wameshajua wanaume wengi siku hizi siyo waoaji wanapiga na kusepa kwahiyo nao wanahakikisha unapopiga na kusepa lazima ugharamikie.

Kumbuka mnapochezeana baadaye jamii itakuja mnyooshea kidole mwanamke kuwa yeye ndiye malaya na hafai kuolewa ila mwanaume aahh ataoa fresh tu kwahiyo kwa upande huo mwanamke anakuwa kapoteza. Sasa na yeye atajipoza wapi kama siyo kwenye pesa hiyo inaitwa "nipotezee muda nikupotezee pesa".

Huu mchezo bwana hauhitaji hasira

Tit for tat is a fair game
Bora useme.
Namuambia St Ann bora ulie na maumivu ya usaliti tu kulilo maumivu double double.
 
Hapa unajua hata msitulaumu wanawake. Siku hizi mapenzi ya kweli hakuna wanawake wameshajua wanaume wengi siku hizi siyo waoaji wanapiga na kusepa kwahiyo nao wanahakikisha unapopiga na kusepa lazima ugharamikie.

Kumbuka mnapochezeana baadaye jamii itakuja mnyooshea kidole mwanamke kuwa yeye ndiye malaya na hafai kuolewa ila mwanaume aahh ataoa fresh tu kwahiyo kwa upande huo mwanamke anakuwa kapoteza. Sasa na yeye atajipoza wapi kama siyo kwenye pesa hiyo inaitwa "nipotezee muda nikupotezee pesa".

Huu mchezo bwana hauhitaji hasira

Tit for tat is a fair game
Kutokumuomba pesa mwanaume ni kumdumaza.
 
Nadhani mtu akiwa matured kiasi kuomba omba hela hakupo

Binafsi zamani ilikua nikimdate mtu lazima nimuombe hela ama awe mtoaji sana......
Ila sikuhizi nmekua I don even bother, kuomba hela siwez tena nahic uzito tuu ......mpaka mtu wangu ananiambiaga if is there anything juc let m know
 
Ukirudi nakuwa NOT YOUR TYPE
Hapana.
Kuna siku nilikuwa na semina na corporate women wale wadada wa mjini wenye mafanikio na biashara zao.
Wanamiliki microfinance, ana kiwanda cha kuchakata taka kuwa karatasi, miradi mikubwa ya kilimo n. K mie pekee yangu sikuwa level hiyo. Nipo nao pamoja sababu naamini one day nitafika kama wao.

Wengi wao wanawashukuru wanaume zao mpaka kufika hapo.

Mmoja alisema mwanaume wake alikuwa analala mufindi maporini huko anakata miti kwa ajili ya nguzo za umeme.
Mtaji ndo walipatia hapo.
Just uboyfriend tu mpaka leo wapo mbali sana.
So usiogope kuambiwa "am not your type".
Hakuna mwanamke anayesahau wema wa mwanaume labda umtibueee afute kila kitu.
 
Hivi ni lazima uwe dependent kwa mwanaume wako? Kwamba wewe kama wewe hauwezi kujisimamia? shida ya wanawake wengi hawana Financial Freedom
Ungekuwa mwanaume wala usingeniuliza hili swali.
Siwezi kujisimamia kwani najinyea mkuu?
Najisimamia na kusimamia nafasi yangu, hivyonlazima na mwanaume asimame kwenye nafasi yake.
Kwanini hawakuumbwa wanaume tupu hapa duniani?
 
Hivi vingreza unaniumiza kichwa tu na haujanisomesha bwana!!
Hama hiyo nchi, rudi nyumbani kumenoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Zoë njoo uchukue dada yako
 
Back
Top Bottom