Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Hivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?

Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?

Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?

Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.
 
We leo hata sitaki kubishana na wewe. Tena unitue kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ujue Matatizo mengine wanaume tunatafuta wenyewe
Wanawake ni liability
Ukiwa nao wengi Unatakiwa Uwe na uwezo wakutatua matatizo kila siku
Maana ugomvi hutakaa uishe kwenye nyumba yako

Kwanza Wanawake hawapendani wenyewe
Sasa wewe unaenda kuleta tatizo jingine wakati hata kuwafikisha ni issue

Shaur yenu mtajua wenyewe bhana
Kila mtu apambane na maisha yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]aiseeee
Hebu usitudumazie hawa watoto wetu. Hamuwatendei haki ndio maana kuna haya meningine unayakuta miaka 30+ bado ananyang'anyana remote na wadogo zake.
 
Haya ni maneno ya below 30 years of age... wallah, come 30 and above..... Kiswahili mhiki utakibadili bila kushawishiwa na yeyote

Bora nisagane kuliko niwe eti na mwanaume hata hanitunzi sasa tukioana ndio ndani mwanaume anakuwa bahili kama nini
 
Hivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?

Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?

Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?

Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WOWOWO [emoji12]
Wanataka mwanamke mzuri na ana wowowo kutoboka hawezi.

Wowowo linatakiwa lipakwe mafuta ling'are.
Yaani upikiwe jikoni mpaka kitandani.
Hata hela ya mafuta kuling'arisha wowowo hakuna kuacha.

Aiseee mimi sina matumizi mabaya ya dhambi kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom