Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Si ndio hapo sasa. Na akiona tako halipo basi tena na mtongozo unaishia hapo sasa na sisi kwanini tusiangalie pesa zao tu.
Mama mie nawapokea hata msio na matako! Utakula mema ya nchi ila njaa tu ndio sitaki! Kuna mademu wana mizinga mpaka unaeza pata kichaa!
 
Tuseme umempata anayetoa hela... atapata huduma yenye thamani ya pesa yake? Mana hapo sasa ni biashara
Demu kama huyu unakuta anamiliki kilimanjaro crater inayofuka ng'onda kama kambale aliyechacha. Ila tambo zake unaeza hisi ni Alicia Keys.

Au unakuta ana sura ya fiat af nyuma kama ukuta uliopigwa plasta. Hawa ndio wale cheerleaders kwenye ki group cha mademu.
 
Unajua nimecheka sana na kuita Didi.
Anadai ni kispaniola sijui kinininiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1]naona huko aliko hata mwenyewe anajicheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alisema ni kifilipino, wakati ni kihindi.

Mie mwanzo sikutaka kumbishia maana kifilipino sikijui, ila inavyoonekana alikuwa anadanganya.
 
Alikuwa anajitafutia maujiko kwa kitu kisichochake.
Na mbaya zaidi bora angekuwa upande wa tunaoomba hela. Yaani anatukandia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anadhani atabaki salama akigusa hii "kamati"?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamati ya roho mbaya, kikosi cha maangamizi. Bora hata ulikuja kamanda kikosi.
 
Kukuomba pia ni njia mojawapo ya kuitafuta katika kuelekea uchumi wa kati. Hivyo nikukumbushe kutoa pesa kadiri iwezekanavyo. Nasi tunaendelea kuzisaka.


Yaani tunayanyasikaje? Tunakosa kula au?
We utakuwa mzawa wa Capital City bila shaka. "Matonyaizm Policy"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mswis angalau Kiswahili alikuwa anakijua, huyu muhispaniola wa Marangu anatuandikia "fliji" mara "6ki" [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamati ya roho mbaya, kikosi cha maangamizi. Bora hata ulikuja kamanda kikosi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi nilisahauje kumtaja jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alisema ni kifilipino, wakati ni kihindi.

Mie mwanzo sikutaka kumbishia maana kifilipino sikijui, ila inavyoonekana alikuwa anadanganya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom