Can you date a guy without asking him for Money?

Mama mie nawapokea hata msio na matako! Utakula mema ya nchi ila njaa tu ndio sitaki! Kuna mademu wana mizinga mpaka unaeza pata kichaa!
Extrovert mbona kila kitu unajisemea wewe umekaza mimi mimi mimi. Hapa tunaongelea majority of tanzanian men.

Halafu wewe inaonekana hauna pesa. I mean no offence ila comments zako nyingi huwa unalalamika kuhusu kuombwa hela.
 
Ni kweli nilizonazo hazijafikia stage ya kuzigawa hovyo bado niko kwenye kutafuta. Isitoshe pia kuomba omba hela sio adabu njema morally.

Kuhusu majority they don't like kuombwa hela hilo liko wazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi nilisahauje kumtaja jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ohoo huyo ndiyo kamanda kikosi mama. Huyo nilijua tu lazima angetimba bila kutajwa nilikuwa namsubiria mida yake fulani hivi na kweli akaja akafunga na mjadala maana mtoa mada na yule mwenzie wa EDT wamekimbia.
 
Sasa subiri wanakamati wenzio waje sipati picha moto utakaowaka. Yaani wawepo makamanda Hannah, Jael, Amu, Dinazarde na Hornet uwii. Watu watakimbia uzi kama yule jamaa/binti aliyekuwa anakopi na kupesti Kimalkia kumbe kamati ipo inamwangalia tu. Nilipita nikiwa nimechoka yaani nimecheka leo mpaka basi. Hii kamati siyo lelemama aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kamati iliundwa na umoja wa mataifa baada ya mkutano wa kule beijing, hatukuchaguliwa tu kama nyanya gengeni.
 
Ohoo huyo ndiyo kamanda kikosi mama. Huyo nilijua tu lazima angetimba bila kutajwa nilikuwa namsubiria mida yake fulani hivi na kweli akaja akafunga na mjadala maana mtoa mada na yule mwenzie wa EDT wamekimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja tuwasubiri watarudi asubuhi maana huko waliko pengine walishalala na ni usiku wa manane
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kamati iliundwa na umoja wa mataifa baada ya mkutano wa kule beijing, hatukuchaguliwa tu kama nyanya gengeni.
Au sio msemaji mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Katika ubora wako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani haya mambo nyie jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Huko ni usiku? Hapa saa 9 alasiri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Asante sana. Njozi njema mpendwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo wa kucopy na kupaste huko aliko nadhani ni usiku wa manane

Maana muda ule huku bongo ilikuwa saa 11 jioni yeye alisema ni saa5 asubuhi
 
Back
Top Bottom