Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Wapi wewe kelele nyingi tuMie tu ndio napenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi wewe kelele nyingi tuMie tu ndio napenda
Sasa kwani unawaza arif? Acha hizo mbanga we just having fun hapa jf... umesha catch feelings tatizo!Teh teh. Uzuri hayo ni maneno yako tu ambayo I don't give a hoot or two about.
Extrovert mbona kila kitu unajisemea wewe umekaza mimi mimi mimi. Hapa tunaongelea majority of tanzanian men.Mama mie nawapokea hata msio na matako! Utakula mema ya nchi ila njaa tu ndio sitaki! Kuna mademu wana mizinga mpaka unaeza pata kichaa!
Wapi wewe kelele nyingi tu
Ni kweli nilizonazo hazijafikia stage ya kuzigawa hovyo bado niko kwenye kutafuta. Isitoshe pia kuomba omba hela sio adabu njema morally.Extrovert mbona kila kitu unajisemea wewe umekaza mimi mimi mimi. Hapa tunaongelea majority of tanzanian men.
Halafu wewe inaonekana hauna pesa. I mean no offence ila comments zako nyingi huwa unalalamika kuhusu kuombwa hela.
Ohoo huyo ndiyo kamanda kikosi mama. Huyo nilijua tu lazima angetimba bila kutajwa nilikuwa namsubiria mida yake fulani hivi na kweli akaja akafunga na mjadala maana mtoa mada na yule mwenzie wa EDT wamekimbia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi nilisahauje kumtaja jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ukapata hadi na muda wa kujibu comment moja mojaASEE Huwez amini nimekesha ndan ya huu uzi [emoji13]
Sasa subiri wanakamati wenzio waje sipati picha moto utakaowaka. Yaani wawepo makamanda Hannah, Jael, Amu, Dinazarde na Hornet uwii. Watu watakimbia uzi kama yule jamaa/binti aliyekuwa anakopi na kupesti Kimalkia kumbe kamati ipo inamwangalia tu. Nilipita nikiwa nimechoka yaani nimecheka leo mpaka basi. Hii kamati siyo lelemama aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ohoo huyo ndiyo kamanda kikosi mama. Huyo nilijua tu lazima angetimba bila kutajwa nilikuwa namsubiria mida yake fulani hivi na kweli akaja akafunga na mjadala maana mtoa mada na yule mwenzie wa EDT wamekimbia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nakuelewa ni my frienemy since day one, won't and will never catch feelings to your jokes.Sasa kwani unawaza arif? Acha hizo mbanga we just having fun hapa jf... umesha catch feelings tatizo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzi mwili mzima, nakupiga sasa hivi.Kelele sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya bwana, kidogo changu kikubwa nabii daniel shiloh
Ndiyo hawapendi wanawake waangalie pesa kwa wanaume ila wao wanaangalia sura na matako kwao. Shubaamit.Ni kweli nilizonazo hazijafikia stage ya kuzigawa hovyo bado niko kwenye kutafuta. Isitoshe pia kuomba omba hela sio adabu njema morally.
Kuhusu majority they don't like kuombwa hela hilo liko wazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kamati iliundwa na umoja wa mataifa baada ya mkutano wa kule beijing, hatukuchaguliwa tu kama nyanya gengeni.Sasa subiri wanakamati wenzio waje sipati picha moto utakaowaka. Yaani wawepo makamanda Hannah, Jael, Amu, Dinazarde na Hornet uwii. Watu watakimbia uzi kama yule jamaa/binti aliyekuwa anakopi na kupesti Kimalkia kumbe kamati ipo inamwangalia tu. Nilipita nikiwa nimechoka yaani nimecheka leo mpaka basi. Hii kamati siyo lelemama aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja tuwasubiri watarudi asubuhi maana huko waliko pengine walishalala na ni usiku wa mananeOhoo huyo ndiyo kamanda kikosi mama. Huyo nilijua tu lazima angetimba bila kutajwa nilikuwa namsubiria mida yake fulani hivi na kweli akaja akafunga na mjadala maana mtoa mada na yule mwenzie wa EDT wamekimbia.
Au sio msemaji mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kamati iliundwa na umoja wa mataifa baada ya mkutano wa kule beijing, hatukuchaguliwa tu kama nyanya gengeni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani haya mambo nyie jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au umetongozwa na id fulani ukaikatalia akaja akakutongoza kwa id nyingine ukaikubalia. Siku ukija kugundua sijui utaambia nini watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ni usiku? Hapa saa 9 alasiri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana. Njozi njema mpendwa.
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Yaani toka mchana tunae hapa.
Khaaaaaa
Yaani wasiokuwa na hela huu uzi wanapata tabu sana.
Huyu ndo dizaini wa wanaume hata 20,000 anataka uandike barua ya maombi na ipitie serikali ya mitaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahWe nae huna hela.
Kazana tu kutafuta.
Wanaume wenye hela hawawezi kuwepo hapa tokea mchana.