Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Au anaanza , "Mimi nilishasema....(kisha anapesti zake)"
Naye alijiongeza akawa anachanganya na kiswahili
Halafu anabadilisha na kufupisha baadhi ya maneno
Mf; believe ataandika blv
Love ataweka luv

Hii dunia ina Mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kumbe alikuja hadi kwako?
Anaanza "nipo mbali lakini tunaweza kuwa marafiki" hapo hajaulizwa yupo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mwanaume mzembe huyu si mchezo, huku kajilaza sebuleni kwa shemeji akaona maisha kayapatiaaa. Haki nimecheka hadi usingizi umeisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi si unajua ni mama wa kusawazisha. Nilikuwa namvutia pumzi tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kutumia hela zetu aliosema tunapenda nani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] We unafikili huu uzi ungeanzishwa hapa kama kuna swala la ufahari???
Aaah mpareee kama nakuona!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu anza kupenda bwana ni fahari sana kwa mwanaume kumhudumia mwanamke wake. Ukiona kwako sio fahari ujue kuna shida mahali. Hebu anza mazoezi.
 
Usiseme tusisingizie wakati ndio uhalisia. Nyie mko after money ndio maana hata uaminifu ni 0!
Hujui hata athari za hio tabia ya tamaa za pesa?
Hatuko after money, ni kaujinga tu mmejijaza ili kuficha uchoyo wenu. Tuko after love na tunawapenda kweli. Acheni tu uchoyo ili mahaba yadumu. Acha ubishi basi we mpare jamani, hebu toa pesa.
 
Njoo kwangu mrembo, mungu kweli anajibu kwa wakati jamani 🤣🤣🤣
Ooooho this is a trap,niliwahi kuwa na mdada mpaka mtonyo ananipa ila nilichokuja kugundua anatoa huko analeta kwangu...it was a shame,bora mwanamke anayekuomba hela
 
Back
Top Bottom