Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Wengi hawajui hata lengo la wao kuumbwa, na sisi kuumbwaWanataka mtelezo utafikiri baba zao waliteleza hivyo. Sasa sijui huu ujinga wameurithi wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi hawajui hata lengo la wao kuumbwa, na sisi kuumbwaWanataka mtelezo utafikiri baba zao waliteleza hivyo. Sasa sijui huu ujinga wameurithi wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Kwanini vijana huwa mnadanganyika na miandiko ya Jf.Naomba No yako Dada kama Una sura nzuri na Kalio lipo ha ha haaaa
nakula hapa hapa, usinifungie 😂😂😂Hahhaaa kuna mwanaume bado yupo hapa anashusha magazeti?
wenzie wamekumbatia watoto wazuri saa hizi
Nyie watoto wa kike bana toeni bure kama mlipewa bure 🤣🤣🤣 biashara gani mnaleta hizo![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani wewe Extrovert ndo nini kuniambia yote hayo?
Kisa ni hela???
Penzi bila hela limepooza kama mchuzi usiokuwa na ndimu
Wewe jiondokee tu ukazisake..nakula hapa hapa, usinifungie 😂😂😂
Bora nimpe kichaa walau nitapata thawabu.Nyie watoto wa kike bana toeni bure kama mlipewa bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787] biashara gani mnaleta hizo!
Hahaha sawa mrs. Nyegezi,,, nikizipata si kama kawa lakini?Wewe jiondokee tu ukazisake..
kukaa hapa hakukuongezei Idadi ya miamala
GardemnBora nimpe kichaa walau nitapata thawabu.
Nahudumia ila sio kila mwanamke, wengine inabidi tule kitonga tusije tukachakaza clutch!Aaah mpareee kama nakuona!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu anza kupenda bwana ni fahari sana kwa mwanaume kumhudumia mwanamke wake. Ukiona kwako sio fahari ujue kuna shida mahali. Hebu anza mazoezi.
Chief Relation Officer huyo! 🤣🤣🤣Au sio msemaji mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Katika ubora wako
EehHahaha sawa mrs. Nyegezi,,, nikizipata si kama kawa lakini?
Basi uhakika!
Kiasili hutakiwi kutafuta pesa, zaidi ya kukaa uletewe pesa basi. Ushawahi kuwaza kisu siku ukianza kufa kabla ya mumeo ?Kwani nikitafuta ni vibaya?
Ulishawahi kuwaza siku ukitangulia kufa kabla ya mkeo itakuwaje.
Its cool like fish in pool and i hope you have the best day ever, coz if someone deserve a great day... it's you kibonge mwepesi [emoji8]Poa,za asubuhi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah ulivyosema msemaji mkuu umenikumbusha mbaliAu sio msemaji mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Katika ubora wako
Oohh kumbe ilikuwa saa tano asubuhi sasa nimeelewa. Mwanzo nilijua kamaanisha saa tano usiku ndiyo maana nikabaki najiuliza hiyo EDT mbona ni ya magharibi na siyo ya mashariki na kwa kawaida nchi zote za magharibi ziko nyuma yetu kimuda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo wa kucopy na kupaste huko aliko nadhani ni usiku wa manane
Maana muda ule huku bongo ilikuwa saa 11 jioni yeye alisema ni saa5 asubuhi
never on earth, labda kama zimepanda ghafla unataka azishusheCan you date a guy without asking him for money? Most girls will be laughing at this question,but am sure the guys would really want to know.
As long as I can remember and as many relationships I can remember, the ladies always ask for money.It might not be direct because ladies are smart.
They might not ask you directly but by the time you realize it, you have given them 100k.
I am not sure most ladies can do without asking their guys for money. It's in the blood, you are their helper the moment you ask them out. You just have to provide for anything they want because they are now your responsibility.
Have you been in a relationship where all the girl knows is to ask you for this or that, whenever they see anything then they want it.
Sometimes I would say its the guy's fault because at first some guys when they approach a girl for the first time, they approach from the angle that they have money, that they can provide for their every need.
So when the guys approach them this way, what do you expect from the girls. Let's discuss this. What's your opinion?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu wengine tunahangaika na makamusi ya oxford hapa kumbe mwenzetu anateleza tuWewe hornet na Zoe mnahangaika kuandika kizungu wee
Kumbe mwenzenu anapaste tu.