Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Hilo nalo neno. Ulivyosema hivyo umenikumbusha kuna mtu alianzisha uzi akawa anasema huyu mkwepu jr ni nani mbona huwa analike na hacomment chochote unakuta uzi una comments 2000 ila analike zote.

Jamaa mmoja akamjibu "mwenzio anapita tu analike bila kusoma mwenye matatizo ni wewe unayeanza kukagua comment moja moja kiasi cha kujua kuwa kalike comments zote 2000". Aisee nilicheka sasa ndiyo haya haya.

Huo uzi unachekesha sanaaa
 
Cute B aliwahi kunipa hiki cheo kipindi kile najiita Edelyn. Teh enzi hizo naonekana mama mtu mzima hata kina FaizaFoxy wadogo basi na mie nikawa najiooooona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikitoka nje ya JF mama ananiita ananituma dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lizarazu akakupa ustraika..
Kiungo msawazishaji..unavuruga watu hatari.

Mimi nilikuwa nacheza katikati kuweka hali vizuri...unakuta sijamaliza kuype Mara mama ananipa kazi.
 
Back
Top Bottom