Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Nilikuwa namjibu kwa kifupi tu.
Nijadiliane naye namuogopa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.

Kumbe ni wewe wife material
Hongera, huwa unamawazo konk.
Lakini umeolewa????
 
Baada ya kunyanduana na bebi unakunywa maji na juice ili kuongeza nguvu ulotumia
Maji,juice,energy ,matunda -50000
Chakula cha mwezi hivii kuku na samaki
Au unaonaje rafiki
Hahahaha, sawa sawa Rafiki ,nimeipenda menu na bajeti ,hapo kitu cha 150,000/= game safi kabisa ,Hahahaha
 
Kumbe unajua Kama sex haimfanyi mtu kuolewa?
Kama haimfanyi mtu aolewe basi si muhimu..halafu pia ni dhambi.
Kuna umri ukifika mwili unahitaji sex!! ni tabia ya mwili so mwili ndo unahitaji ni muhimu kwa afya ya mwili lakini sio kiungo muhimu kwenye kusababisha uwolewe... Tumeowa wanawake hata kiuno hawajui kuzungusha ila Tumeowa kwa sababu ya tabia zao na vile wanaweza kuwa makini na nyumba zao
 
Back
Top Bottom