Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na inawezekana kweli, kale kabinti kalikuwa nunda halafu kichwa kigumuu ukute ndio huyu sasa[emoji134][emoji134][emoji134]
Dunia ina mengi..
Sema msamehe bure maana anadhani wewe la 3C
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo unataka kusema mimi ndio nilikuficha[emoji134][emoji134]
Eeh, halafu tuendelee kufichana kwa sana manake mkuu keshasema urudi kazini[emoji23][emoji23]
 
Ila muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
Siamini Kama wewe ni msichana/mwanamke. Nadhani ni "me" na lengo lako ni kufurahisha jukwaa tu! Mwanamke anayeweza kuzungumza unavyozungumza wewe hajazaliwa bado!!
 
Back
Top Bottom