Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥
Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.😬
Kama dunia imevaa sketi ifunue uidinye.Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu![emoji26]
Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.[emoji51]
Dah..!!! We jamaahahahahha
pole...View attachment 2057393
Kaporwa simu wapi? Huyu dogo katoa matumizi ya xmass? Sasa anataka nini akisaidiwa kutoa?
Addiction by Harmonize & IbraahDj nyimbo gani itamfaa
Dunia tunapitaa eeh
Ayiiiiiiiii mi nishelewa
[emoji3][emoji3][emoji3]Acha bangi.
Asante mkuu, nitazoea taratibuPole ndugu
kabisa awe mvumilivu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena kwa mechi za away...