Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

3009011_FB_IMG_1637571434544.jpg

hizi ndio zilikuwa nyakati nzuri, hata ndoa zilikuwa zinadumu.
 
Jamaa muda huu limemkunja halafu linamfinyanga finyanga huku linamuambia nitukanie KENZY
 
Mkuu tupe mrejesho..... Ili tuendelee kukupa majibu sahihi ya maswali yako..
 
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu![emoji26]

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.[emoji51]
Umeunaliza mwendo vita umeipigana
 
Back
Top Bottom