Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.😬
Tit for tat😂😂😂
 
😅pole sana ndugu usiweke imani mbaya juu yake msikilize anasemaje kwanza atakapopatikana hewani

Merry xmas🌠🎄
 
Achana na kuwazia hiyo mambo,leo zamu ya mwenzio.Kuja hapa Lema bar tupate bia muda huu!!
20210902_205214.jpg
 
Kuna Mtu Anampa Masotojo Huko
Tulia Kunywa Maji Tele
 
Back
Top Bottom