Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu![emoji26]

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.[emoji51]
Pole sana mkuu... wasikuumize kichwa weka pembeni tafuta hela pisi zipo nyingi sana...
 
Komenti zenu ziwe zakutia moyo basi nyie mnakandia tu hivi mnajua kupenda nyinyi..[emoji26]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaniiiiii poleee
 
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.😬
Ngoja wenye pesa wakufundishe namna ya kuzitafuta ili usizimiwe simu, mtoto anahitaji apelekwe beach akale mishikaki ya samaki na kuogelea wewe unataka kupiga mzigo bila kuhudumia pole
 
Kama una subwoofer sikiliza hili goma kwa sauti ya mwisho kabisa litakupunguzia machungu Ameno ya Goya Menor.
 
Back
Top Bottom