Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Usimlaumu sana mkuu, amefikia sana hadi kufikia maamuzi ya kuspend na mdau badala ya wewe.
 
Sijui kwanini gari yangu ikipigwa pasi inaniuma kuliko kuachwa na pisi.
 
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.😬
Yuko huku...

3031745_IMG-20211209-WA0013.jpg
 
Acha vurugu Mkuu takuroga bure maana sahivi sielewi hapa nini chakufanya!.
Yaani mpaka muda huu bado hakuna mawasiliano,,pole sana .Halafu lijamaa linalo msherehesha halina huruma masaa 10 halijamuachia tu.
 
Back
Top Bottom