Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Sssshyee! Kwani hapo alipo hapamtoshi mpaka aende huko kwao? Mm nilidhani wanamsaka kumtia mbaroni kama Polisi wetu wanavyowasaka vibaka na wapinzani.
 
labda wamkamate Netanyahu wa mchongo si wa hii Israel. Mjue yule mwamba si slobodan
 
Putin au Netanyahu akikamatwa popote duniani, vita vya tatu vya duniania vitalipuka hapo hapo 🐒
Putin huenda ikawa kweli akikamatwa dunia itakuwa kwenye mtanzuko mkubwa lakini Netanyahu akikamatwa hakuna chochote kitakachopelekea dunia kuingia kwenye vita.

Putin ni tishio la kweli la ulimwengu ndiyo maana anapigana na mataifa yote ya NATO na Marekani lakini Israel hana uwezo wa kusimama vitani peke yake na Hamas achilia mbali Lebanon ama Iran.
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumkamata,
Ili kumaliza ubishi ajichanganye kutembelea mataifa hayo yaliyoweka wazi nia yao ya kumkamata.

Netanyahu yupo kwenye msongo wa mawazo kuliko kiumbe chochote kilichopo ulimwengu huu kwasasa maana haelewi hata pakushika amekuwa kama mwehu.
 
Losers clutching at straws.

Habari kama hizi ndo zinawapa afueni ya muda mfupi halafu baada ya hapo ni back to reality.

And the reality is, Israel is crushing Hamas to smithereens.

Na Netanyahu kamwe hatokamatwa na mtu yeyote yule.

Kama kweli wana ujasiri wa kumkamata, basi waende alipo na wakamkamate.

Kusema sijui akikanyaga wapi ndo atakamatwa, ni admission kuwa hakuna mwenye ubavu wa kumkamata.

Wewe mwenye ‘mamlaka’ ya kisheria ukijua mhalifu yupo sehemu flani, utaenda kumkamata.

Siyo kusubiri eti atoke ndo ujaribu kumkamata.
 
Wafia dini mnachekesha nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu kiongozi wa taifa la nuklia Israel labda nikuulize kiongozi gani alishakamatwa baada ya kudhuru taifa lolote mwanachama wa icc mfano Putin alienda falme za kiarabu mbona hawakumshika
 
Wafia dini mnachekesha nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu kiongozi wa taifa la nuklia Israel labda nikuulize kiongozi gani alishakamatwa baada ya kudhuru taifa lolote mwanachama wa icc mfano Putin alienda falme za kiarabu mbona hawakumshika
Wapumbavu tu hao.

Kwao hiyo ndo habari njema kwa sababu, nje ya hapo, hawana jingine lolote lililo jema au lililo la ushindi.

Kila wakigeuka na kuangalia huku na huko, wanachoona ni kichapo kinachotolewa na Israel.

Hivyo wakipata hata vijihabari vya uongo na kweli vinavyoweza kutafsirika kuwa ni chanya, wanachekelea.

Deep down nadhani hata wao wanajua Netanyahu hatoguswa na mtu.

Netanyahu yupo Tel Aviv. Kama kweli ICC wana ubavu, si waende tu wakamkamate?

Kwa nini wasubiri mpaka atoke nje ya Israel?
 
hakuna haja ya kuandikia mate,
wajitokeze kumkamata, hivi karibuni atakua Hungary 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…