Punguza UFALA BASI HATA KIDOGO.
Kuongea uongo hakuzuii kuwa Israel ndio mwenye makosa.
*Kabla ya Oktoba 7 kutokea Israel mnamo March kuelekea August 23 walivamia Khani Younis na kuharibu mashamba na kukanyaga watu na vifaru,je huo sio ugaidi!?
*Israel Agosti 2023 ilitoa idhini ya kuvunja makazi ya ukimbizi ya Jenin ili waongeze makazi ya walowezi wa kizayuni,je huo sio ugaidi!?
*Israel imekua ikishutumiwa na jumuiya za kimataifa ikiwemo Amnesty international kuwa inamwaga maji ya sumu na kupuliza sumu kwenye mashamba ya Gaza,je huo sio ugaidi!?
*Mkristo mwenzako Sherin Abu Akleh Palestinian-American alipigwa risasi na SNIPER kimakusudi akiwa anatangaza habari 2021,je huo sio UGAIDI!?
Vikao vilikalika pale CAIRO mataifa ya Ulaya takriban yote yalienda na mwanzo Hadi chanzo Cha Oktoba 7 kikajadiliwa.
Conclusion ilitoka kama sio Israel kufanya hizo vurugu nilizokutajia hapo juu basi Hamas wasingevamia Oktoba 7.
Inamaana wewe na Spain,Belgium na Brazil waliovunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel wewe una akili zaidi!?
UNGA mataifa 124 yamepiga kura dhidi ya Israel na kusapoti uhuru wa Palestina inamaana wewe una akili kuliko wao!??
WEWE NI HASARA KWENU HUNA HATA AKILI YA TAFAKURI
Wewe utakuwa mgonjwa au ndiyo taarifa ya msikitini hiyo? Yani HAMAS nao ni Israel? Walioteka na kuua 10/7 walikuwa wa Israel? Israel makosa yao yako wapi kuyaua MAGAIDI ya KIISLAMU? Au nawe Gaidi nini?
Yani mfano Jambazi likuvamie, halafu liue mkeo/mmeo, na watoto, na wazazi, halafu likasema limeua lenyewe, kisha ukaanza kulitandika ,na likaendelea kutema shombo,nawe ukaendelea kulitandika. Ni wapi wewe unakuwa mkosaji?
Yani HAMAS walipoteka, wazee, wanawake na watoto MLISHANGILIA DUNIA nzima, mkipiga NGUMI hewani na kusema Takbir Allah akibar! Leo yanapigwa mnaanza kusema mara sumu, mara wanawake na watoto, lakini mmejitoa ufahamu kutaka kujua nani alianza uchokozi.
Leo mnaushahidi wa kila GAIDI lililo uwawa, Vipi Nasrallah huna ushahidi aliuwawa vipi na waisrael, au yeye ilikuwa poa tu?
Hahaha hao waliovunja uhusiano na Israel watarudi wenyewe kuomba uhusiano na Israel, Mahusiano yanavunjika kila siku wewe bado unawaza mahusiano?
HAMAS walifukuzwa juzi na waarabu wenzao, wamehamia UTURUKI, utasema wale waarabu nao wajinga?
Hii double standard mnafundishwa msikiti gani? GAIDI halitetewi, nikama JAMBAZI popote likionekana piga moto.
Nimeamini wewe mwehu, au daruweshi nini?