dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Afrika inaenda kuwa pepo ya magenge ya kihuni na magaidi! Dah.Na ndicho kinachokuja , naamini ipo siku itaerupt bantu spring huku subsaharan Africa , hizi nchi zinatawaliwa na magenge ya wahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika inaenda kuwa pepo ya magenge ya kihuni na magaidi! Dah.Na ndicho kinachokuja , naamini ipo siku itaerupt bantu spring huku subsaharan Africa , hizi nchi zinatawaliwa na magenge ya wahuni
Kwani ina maana wahamiaji wamezuiliwa kabisa, ama vigezo vimebanwa?Ili sakata la uhamiaji linaimpact kubwa sana especially kwa Africa. Uko nyuma waafrika wenye ufahamu wa mambo walikuwa wakikimbilia ulaya na marekani kutafuta unafuu wa maisha. Sasa hiyo milango inafungwa, hali inayofanya kundi ilo libaki afrika kwa kwa shurti.
Sasa, tawala za Africa ni either zibadilike, rasilimali ziwe za nchi ama zijenge prisons kubwa. Kuna kivumbi kinakuja Africa.
Ndio point kubwa hiyo . Wanadhani wapo mburahatiLabda Wacanada wamechoshwa na Wahamiaji kuswali Mabarabarani? Mnasemaje Wakuu?
Hilo halina tatizo tatizo ni kwamba Mtu ahamie Nchini kwako halafu auchukie Utamaduni wako,halafu awe anataka kukuletea Utamaduni wake uliyemfelisha yeye huko alikotoka na kumfanya awe mtu mwenye hasira.Watu wanashindwa kukaa katika nchi zao wazijeng wanakimbilia nchi za wenzao zilizojengwa.
Na wameshaenea na hadi uongozi wanapata kwenye hizo nchi na kuinfluence hadi uchaguzi, just imagine sadiq khan anashinda umeya wa london mwaka wa tano karibia mfululizo , rashida tlaib na ilham omar wameingia kwenye congress marekani, na wengine wengi europe, ajabu wanaoumia ni wakristo wa tanzania ,huku wazungu wakipenda kuishi nao na kuwasminj hadi kuwapa uongozi wa juu nchini kwaoTatizo la uhamiaji duniani kote linaletwa na wavaa makobasi! Hii mijamaa migaidi!
Ikitokea now Samia lazima akimbilie kwa wajomba zake Uarabuni.Na ndicho kinachokuja , naamini ipo siku itaerupt bantu spring huku subsaharan Africa , hizi nchi zinatawaliwa na magenge ya wahuni
MLeta uzi kajawa na chuki tu, hajui hii inamuathiri hadi yeye na mtu yoyote ambaye si raia wa canada,including vijana wetu wanaoenda kusoma na kutafuta kazi na maisha canada, roho yake mbaya na chuki kwa waislamu imemtia upofu hadi hajui kama na yeye au ndugu zake ni wahanga wa hili ,jinga kabisaWahamiaji wengi wa huko ni raia kutoka mexico na Brazil
Acha chuki zako uislamu utaendelea kukuwa europe na america, its too late na tutaendelea kuwafundisha uislamu na uzuri wameshaukubaliHilo halina tatizo tatizo ni kwamba Mtu ahamie Nchini kwako halafu auchukie Utamaduni wako,halafu awe anataka kukuletea Utamaduni wake uliyemfelisha yeye.
View attachment 3156398
Ninyi Uisilamu umewasaidia nini?! Umejawa na Husuda tu.Acha chuki zako uislamu utaendelea kukuwa europe na america, its too late na tutaendelea kuwafundisha uislamu na uzuri wameshaukubali
Si unaona wakatoliki wanavyoingia kwrnye dini ya haki hadi maafisa usalama wakubwa kama hawa
Acha chuki zako uislamu utaendelea kukuwa europe na america, its too late na tutaendelea kuwafundisha uislamu na uzuri wameshaukubali
Si unaona wakatoliki wanavyoingia kwrnye dini ya haki hadi maafisa usalama wakubwa kama hawa
Hana jipyaWaziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu ameyasema hayo leo kwenye Mtandao wa X.Wananchi wengi wa Canada wamempongeza kwa hatua hiyo.
Wachunguzi wengine wa mambo wanasema ni Pressure za Raisi mteule wa Marekani Donald Trump.
Source: X
View attachment 3155700
Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu
Soma pia👇
Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?
Wakuu, Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana. Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500 Kwanini wafunge barabara? Kwanini...www.jamiiforums.com
Wewe ndio mfano halisi wa neno "mbulula"Wakristo hata waamie kwa mamillion hawana shida! Shida ni wavaa makobasi! Hata akihamia mmoja ni shida! Niliwahi kufanyakazi sehemu akaja kuajiliwa mvaa kobasi mmoja! Katika vikao vya wafanyakazi akaomba apewe ofisi ya kuswalia swala zake 7 !
Wakati nyie wakristo wa tanzania mnawachukia waislamu kule marekani trump anazidi kuwapa mashavu cheki hapa bwana mehmet kala shavu kutoka kwa trump, na trump amependekeza wahamiaji wote waliopata elimu nzuri marekani wabakizwe ili waisaidie marekani kama bwana mehmetLabda Wacanada wamechoshwa na Wahamiaji kuswali Mabarabarani? Mnasemaje Wakuu?