N Ngolo Shimiyu New Member Joined Mar 24, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Apr 25, 2024 #1 Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu. Msaada tafadhali
Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu. Msaada tafadhali