Ni Maoni yangu tu, naweza kuwa wrong; hivyo mjadala unafaa uendelee! You are always sweet, you know that; maana siku zote unachagua kuona vitu vizuri tu kwangu na kuyaignore madudu yangu kibao!
Babuuu variables nyingine zote zina remain constant as at first site what matters ni mapenzi.
kwani wewe ulipomuoa bibi alikuwa ndo mwanamke ama binti bora na mzuri kuliko wote uliopata kuwaona??
hii ya kutafuta mwenza ni mfano mzuri wa models zenye omitted variables bias.Hiyo concept ya mwanamke/mwanamume pekee inanipa taabu kidogo...
Sijui kama variables nyingine kama vile location, time, uchumi na kupigika vimeingizwa kwenye equation...lol!!
Babu DC!!
Mpaka kuwa naye maana yake nimempenda (I love what l see)
Pia nina machaguo ya kuamua nione sana nini au nisione nini, ninaweza nikaona SANA ucheshi wake na kuamua kuacha kuona ucareless wake. As binadamu ukichagua kuONA kitu chochote utakiona kwani unakikuza (magnify) kwa lenzi. Kuwa na machaguo ya nini unataka kuona si upofu bali ni degree kubwa sana ya VISIBILITY in my opinion.
Umesema maneno mazito sana mamaangu...
Na hapa ndipo wakati mwingine tunashindwa kutambua yanayoonekana...kwa sababu 'udhaifu' wa mweznio unaonekana kama 'strength'...nakubali kuwa mapenzi yana kawaida ya kuficha usione udhaifu lakini je? kuishi kwa kujilisha upepo hakuwezi kuwa kubaya zaidi?..kwanni hata ukimpenda mtu usione mapungufu yake na kujaribu kuyaishi au kuyarekebisha ikibidi??
ha ha haaaa, JF is never boring, lol!Hapa unanitafutia ugomvi dada yangu gfsonwin,
The simple answer is that, "she won the race"
Babu DC!!
and thats a very high degree of my visibility sio!santeeee!
Mkuu saudari hapa ungefafanua zaidi bwana..
Manake kuna upofu wa kutokuona mabaya ya mwenzio na siku zote unakuwa unaona mazuri tu...japo siku ukiachana naye unagundua 'how worse she was'...
Mapungufu gani hayo ambayo unaweza kuyarekebisha??
Ndiyo maana kuwa wengine tunaishi kwa principle ya kuukubali ukweli...lol!!
Babu DC!!
hivi kumbe tuko wengi ambao tunavutiwa na wewe??
you are always good ma dearest, hdi huwa nataman akili na moyo wako.
That is LOVE baby! LOL
Mkuu saudari hapa ungefafanua zaidi bwana..
Manake kuna upofu wa kutokuona mabaya ya mwenzio na siku zote unakuwa unaona mazuri tu...japo siku ukiachana naye unagundua 'how worse she was'...
ok sasa umeona enh! ni kwamba bibi aliuteka moyo wako kuliko wengine wote and she remains to be like that.Hapa unanitafutia ugomvi dada yangu gfsonwin,
The simple answer is that, "she won the race"
Babu DC!!
nakupendaaaje sasa unapoamuga kuwa mbishi ili kutufanya tumwagike mipwenti!love this way of teaching!Mbona mie naona tofauti??
Nahisi kama ukiachana naya kama kweli alikuwa na strong positive attributes ndipo zinaanza kukumwagikia kama ndoto za alfajiri!
Babu DC!!
Umeongea maneno mazito sana..lolz
Ina maana unaamua wewe nini ukione kwa mwenzi wako?..na sio vile kinavyotakiwa kionwe?
Ila kwa sbabu ya upendo unaamua kutafsiri kwa kadri ya upendezavyo hata kama kwa wengine haiwapendezi...lolz
Nadhani ndo ile methali ya 'apendaye chongo huona kengeza inapoijia'
hii ya kutafuta mwenza ni mfano mzuri wa models zenye omitted variables bias.
sasa hii sijui tunaweza ku-correct? au ndo haina solution, lol!