Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Umeandika vizuri sana...ninachogundua kwako ni kuwa sio kweli kwamba hatuoni..ila 'tunaona' lakini haitushughulishi sana kuchukua hatua kwa yele tuyaonayo..ryte?. Kwa sababu tukiamua kuona kwa macho ya ukweli tutakwazika na neno 'penzi' halitanoga...lolz...Labda tu nikuulize..Unaweza kuishi kwa kuujua ukweli unaouma?..au ni vizuri kutotaka kujua kwa sababu haitasaidia???

Kupenda tu kwenyewe ni 'myth'

Si kweli kwamba ukipenda mtu unakuwa blind, siamini hili
Ila kinachokuwepo ni kuwa, ukiwa mapenzini kuna kawaida ya kuyafumbia macho mapungufu ya mtu

Hata yale mapungufu yanayoudhi kabisa, unayavumilia kwa sababu tu, gharama ya kuvumilia mapungufu hayo unaona NAFUU kuliko gharama ya kumpoteza mtu huyo.
Kuvumilia kutokuwepo kwani inakuwa 'aghali' sana kuliko kuvumilia mapungufu yake.

Kama ujuavyo, ukiamua kufumbia macho na kuendelea naye, itafika mahali yule mtu unamzoea, hapo sasa gharama ya mapungufu inaanza kuwa unbearable. Ikizidi sana ndio watu huachana, unabaki kujiuliza, kwani hakuona mapungufu yake kabla hajakubali?

Kumbe ilikuwa kiwewe cha penzi bichi au changa
 
Ukiamua kumchunguza kuku wako mwenyewe humli, sembuse wa jirani uliyemkuta na meno 32?
 
ha ha haaaa, JF is never boring, lol!

Hahahahahahah,

Uliona mzee mwenzangu alivyotaka kunivisha kitanzi??

Hivi ningesema kuwa kulikuwa na kabinti fulani ambako kalikuwa kanashika nambari wanu, halafu nikaporwa na ndiyo nikaamua kuhamishia majeshi yote kwake.... Unadhani Bibi angenielewa kweli??

Na ujue mtu wa kwanza kumpa hii hint angekuwa Smile....

Mwenzenu napenda kumaliza Kwaresma salama bwana...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ni kama electromagnetic spectrum tu...kuna sehemu ile ya Visible....bhaas ndipo "tuonapo" kwa amcho ya upendo, ilhali the whole spectrum ina maeneo ya infra red, micro wave..radio waves...we take it as a "whole' AND "the whole is better than sum of parts"
 
Ukiamua kumchunguza kuku wako mwenyewe humli, sembuse wa jirani uliyemkuta na meno 32?
 
Huku sasa sitii mguu tena....hizo mathematical models nitadeal nazo vipi wakati hesabu zenyewe ni kama kudhungu za kuombea maji ya kunywa??

Ila bwana mapenzi ya kutafutia mwenza hawezi kuwa contant ukiwe enao A kama vile ambavyo ungekuwa eneo B...au uchumi umekubali tofauti kama ungekuwa unasaga lami...!!

Au nakosea mkubwa mwenzangu @FP???

Babu DC!!
hapa sasa ndo ile theory ya mtu hujikuna anapojifikia ndo ina-apply
 
Hahahahahahah,

Uliona mzee mwenzangu alivyotaka kunivisha kitanzi??

Hivi ningesema kuwa kulikuwa na kabinti fulani ambako kalikuwa kanashika nambari wanu, halafu nikaporwa na ndiyo nikaamua kuhamishia majeshi yote kwake.... Unadhani Bibi angenielewa kweli??

Na ujue mtu wa kwanza kumpa hii hint angekuwa Smile....

Mwenzenu napenda kumaliza Kwaresma salama bwana...lol!!

Babu DC!!
ha haaa, nimeona ulivyoruka vihunzi mtu mzima mwenzangu, lol! ndo maana nikaishia kucheka tu
 
Physica katika mapenzi?

Nimeamini 'gravitation is not responsible for people falling in love'

ni kama electromagnetic spectrum tu...kuna sehemu ile ya Visible....bhaas ndipo "tuonapo" kwa amcho ya upendo, ilhali the whole spectrum ina maeneo ya infra red, micro wave..radio waves...we take it as a "whole' AND "the whole is better than sum of parts"
 
love makes us do the craziest of things (samson na delilah lol) esp. kama the person is "worth it". I've seen mtu akihonga beyond uwezo wake (fincancial) for a woman. ukiwa in-love u feel she is worth it and it makes us more emotional/impulsive. it's just the way tulivyo. SnowBall unamaanisha nini unaposema "Nataka nione at the same time nipende....", sijakupata sawasawa
 
Last edited by a moderator:
Physica katika mapenzi?

Nimeamini 'gravitation is not responsible for people falling in love'

Kweli kabisa mtaalamu Kongosho,

Ndiyo maana mtu mwingine hata afanye nini....wala husikii/kuhisi kwamba anafaa kugusa kisigino chako...

Wakati huo unampa mtu nafasi ambaye kila mtu anabi kukuona kama chizi...

Ila mie kwa upande wangu.....hata nikionekana chizi squired, siwezi kureget kwa kumpatia hii nafasi pekee Bibi wa wajukuu zangu...

Potelea mbali hata kama naitwa majina milioni moja....liwalo na liwe.....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Haswaa babu

Kuna saa unamuona mtu kapenda mahaliunabaki kuduwaa tu, chizi kabisa

Sometimes unaona kama anavumilia mengi kuliko stahili ya penzi hilo lakini unamuona yuko happy na uhusiano wake

Tangu nimezeeka nimejifunza kutoingilia mapenzi ya watu, mtu kama akiomba ushauri nampa, ili simingilii maamuzi yake
Unaweza kuona mwenzio anateseka kumbe yeye furaha yake iko mawinguni

(Hapo ni baada ya kuonja asali ya 'forbidded passion')

Ikoje tena hiyo Kongosho??

Ila nadhani ni bora kuwa kipofu kuliko kukumbana na kukataliwa??

Unfortunately sijawahi kukataliwa ila nilishawahi kupigwa kibuyu chenye mlipuko wa kama Richter 8.5 hivi...!!

Ni hatari ila basi tu, binadamu tumeumbwa kupona na kusahau, pia kusamehe....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, babu bana

Hiyo ni ile 'dunia nzima' inaona uko very wrong, lakini mhusika uko cloud 9 (Don't try this at home, need special skills)

Uzuri wa binadamu tumeumbwa kusahau, vinginevyo tungeuana kama wanyama

Ikoje tena hiyo Kongosho??

Ila nadhani ni bora kuwa kipofu kuliko kukumbana na kukataliwa??

Unfortunately sijawahi kukataliwa ila nilishawahi kupigwa kibuyu chenye mlipuko wa kama Richter 8.5 hivi...!!

Ni hatari ila basi tu, binadamu tumeumbwa kupona na kusahau, pia kusamehe....!!

Babu DC!!
 
SnowBall, mapenzi ni upofu pale umpendapo mtu kwa dhati hivyo inakuwia vigumu kuona kwingine,
yaani hautaweza kuona kwingine zaidi, utabaki kumpenda yule umpendae na hivyo kuwa kama kipofu.

Upofu unaosemwa sio upofu wa kutokuana bali ni upofu wa kuto kupendapenda ovyo.[/QUOTE

Mhh! saudari sikuwahi kufikiri hvi lolz

Mi naweza kusema upofu wa kwenye mapenzi ni pale ambapo umpendae anakuwa na mapungufu fulani lakini wewe huyaoni kama ni kitu unakuwa tayari kuyabeba, au unaona ni kawaida tu kisa unampenda.

Na tukiuweka tena msemo wa NO ONE IS PERFECT ndipo napofikiri kuwa basi kila mtu ni kipofu kwa mpenziwe!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo concept ya mwanamke/mwanamume pekee inanipa taabu kidogo...

Sijui kama variables nyingine kama vile location, time, uchumi na kupigika vimeingizwa kwenye equation...lol!!

Babu DC!!

babu ukisema hivyo ndo wamaanisha? Do u need a second chance uchague tena ..kwi kwiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom