Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Naona leo Kongosho yuko full kama betri ya simu ya kichina....

Anaonesha asivyoachwa nyuma kwenye malavi davi...

Wengine tulishajistaafia...

Babu DC!!

Babu Dark City mzee mwenzangu:
Kongosho mi huwa nampenda bure tu kwa jinsi alivyo....sasa sijui ndo kuwa blind lakini nakubaliana na hilo....
 
Last edited by a moderator:
Mmh, huo urafiki wa mmoja kumla mwenzie kila siku siukubali

Siku moja moja na samaki amle paka basi

Dunia haiko fair kiasi hicho bwana Kongosho....

Najua hata panya huwa ana wishes kama hizo....lol

Ila mwisho wa siku inabidi naye atafute wanyonge wake....which another lever of being unfair!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu Blaine ninaposema nataka nione ilhali napenda namaanisha 'sitaki kuwa blind kwenye mapenzi'...nataka nimuone mpenzi wangu kama wengine wanavyomuona..nataka akikosea nione kweli kachemka na akinifurahisha nione kweli kanifurahisha...i want to see things in its view...

love makes us do the craziest of things (samson na delilah lol) esp. kama the person is "worth it". I've seen mtu akihonga beyond uwezo wake (fincancial) for a woman. ukiwa in-love u feel she is worth it and it makes us more emotional/impulsive. it's just the way tulivyo. SnowBall unamaanisha nini unaposema "Nataka nione at the same time nipende....", sijakupata sawasawa
 
Last edited by a moderator:
haha haaaa nachokisema ni kwamba na mwita Kongosho na Bibi pia .... utajutaje sasa?

Utaweza kumwita BIbi??

Kama unao ubavu basi jaribu uone kasheshe yake...

Ngoja nimwite Smile aje ashuhudie moto unavyokuwakia...
Kongosho hata ukimwita, she is as harmless as lukewarm water...!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nadhani pia inakutokea aisee....
Kwa sababu unavyomuona mpenzi wako inakuwa sio kama vile wengine wamuonavyo!
Unajikuta unaweza kufunika hata ambayo hayafunikiki..kisa love is blind..

Very true aisee
unajikuta uko kwenye situation hujui umefikaje
 
I also thought huu ndo upofu tuusemao....
Pale ambapo you take things for granted in the name of love
Ila sio mbaya manake saudari kaongeza maana ingine....

....
Mhh! saudari sikuwahi kufikiri hvi lolz

Mi naweza kusema upofu wa kwenye mapenzi ni pale ambapo umpendae anakuwa na mapungufu fulani lakini wewe huyaoni kama ni kitu unakuwa tayari kuyabeba, au unaona ni kawaida tu kisa unampenda.

Na tukiuweka tena msemo wa NO ONE IS PERFECT ndipo napofikiri kuwa basi kila mtu ni kipofu kwa mpenziwe!
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu Blaine ninaposema nataka nione ilhali napenda namaanisha 'sitaki kuwa blind kwenye mapenzi'...nataka nimuone mpenzi wangu kama wengine wanavyomuona..nataka akikosea nione kweli kachemka na akinifurahisha nione kweli kanifurahisha...i want to see things in its view...
its hard kuwa objective with someone you love, anakupa furaha na distorts ur judgement slightly. e.g. i can heavily criticize a girl akichemka but bf wake ata(mis)interpret as nimemkashifu/dharau because yeye anatumua emotion/how he feels about her wakati miye natumia reasoning. love WILL make you blind na hii haiepukiki.

Thats y tunashauriwa kuepuka mahusiano na boss au kufanya 'critical' decisions kufuata maneno ya mke/mume wako
 
Last edited by a moderator:
Mhh! saudari sikuwahi kufikiri hvi lolz

Mi naweza kusema upofu wa kwenye mapenzi ni pale ambapo umpendae anakuwa na mapungufu fulani lakini wewe huyaoni kama ni kitu unakuwa tayari kuyabeba, au unaona ni kawaida tu kisa unampenda.

Na tukiuweka tena msemo wa NO ONE IS PERFECT ndipo napofikiri kuwa basi kila mtu ni kipofu kwa mpenziwe!

Haya loliz nimekuelewa kwani hapa tupo kubadilishana mawazo na kutoana ujinga.

Vipi wale ambao ni waaminifu kwa wenzi wao, je tutawaita jina gani ni vipofu au?
 
Back
Top Bottom