Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
babu ukisema hivyo ndo wamaanisha??? Do u need a second chance uchague tena ..kwi kwiiiiiiii!
Sijambo
Nimekimbilia 'Abott' nisije tolewa nje ya mada, maana mie na physics ni paka na samaki
hivi "paka" hali "samaki" kwani amekuwa vegetarian?:A S shade:
ha ha haaa, lol! kazana babu, wote twataka kwenda mbinguni ati.....Halafu umeona jinsi mtandao ulivyokatikia pabaya??
Hata stimu imeniisha.....
ngoja nipambane na saumu...
Babu DC!!
Mmh, huo urafiki wa mmoja kumla mwenzie kila siku siukubali
Siku moja moja na samaki amle paka basi
ha ha haaa, lol! kazana babu, wote twataka kwenda mbinguni ati.....
you are right my dearKwenda huko ni gumu mkubwa mwenzangu...
Ila ni muhimu kuwapa wajukuu mfano kwamba life is never easy...
Babu DC!!
love makes us do the craziest of things (samson na delilah lol) esp. kama the person is "worth it". I've seen mtu akihonga beyond uwezo wake (fincancial) for a woman. ukiwa in-love u feel she is worth it and it makes us more emotional/impulsive. it's just the way tulivyo. SnowBall unamaanisha nini unaposema "Nataka nione at the same time nipende....", sijakupata sawasawa
Very true aisee
unajikuta uko kwenye situation hujui umefikaje
....
Mhh! saudari sikuwahi kufikiri hvi lolz
Mi naweza kusema upofu wa kwenye mapenzi ni pale ambapo umpendae anakuwa na mapungufu fulani lakini wewe huyaoni kama ni kitu unakuwa tayari kuyabeba, au unaona ni kawaida tu kisa unampenda.
Na tukiuweka tena msemo wa NO ONE IS PERFECT ndipo napofikiri kuwa basi kila mtu ni kipofu kwa mpenziwe!
na maakili yako yote!Very true aisee
unajikuta uko kwenye situation hujui umefikaje
its hard kuwa objective with someone you love, anakupa furaha na distorts ur judgement slightly. e.g. i can heavily criticize a girl akichemka but bf wake ata(mis)interpret as nimemkashifu/dharau because yeye anatumua emotion/how he feels about her wakati miye natumia reasoning. love WILL make you blind na hii haiepukiki.Mdogo wangu Blaine ninaposema nataka nione ilhali napenda namaanisha 'sitaki kuwa blind kwenye mapenzi'...nataka nimuone mpenzi wangu kama wengine wanavyomuona..nataka akikosea nione kweli kachemka na akinifurahisha nione kweli kanifurahisha...i want to see things in its view...
Mhh! saudari sikuwahi kufikiri hvi lolz
Mi naweza kusema upofu wa kwenye mapenzi ni pale ambapo umpendae anakuwa na mapungufu fulani lakini wewe huyaoni kama ni kitu unakuwa tayari kuyabeba, au unaona ni kawaida tu kisa unampenda.
Na tukiuweka tena msemo wa NO ONE IS PERFECT ndipo napofikiri kuwa basi kila mtu ni kipofu kwa mpenziwe!