Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Ni Maoni yangu tu, naweza kuwa wrong; hivyo mjadala unafaa uendelee! You are always sweet, you know that; maana siku zote unachagua kuona vitu vizuri tu kwangu na kuyaignore madudu yangu kibao!

hivi kumbe tuko wengi ambao tunavutiwa na wewe??
you are always good ma dearest, hdi huwa nataman akili na moyo wako.
 
Babuuu variables nyingine zote zina remain constant as at first site what matters ni mapenzi.

kwani wewe ulipomuoa bibi alikuwa ndo mwanamke ama binti bora na mzuri kuliko wote uliopata kuwaona??

Hapa unanitafutia ugomvi dada yangu gfsonwin,

The simple answer is that, "she won the race"

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo concept ya mwanamke/mwanamume pekee inanipa taabu kidogo...

Sijui kama variables nyingine kama vile location, time, uchumi na kupigika vimeingizwa kwenye equation...lol!!

Babu DC!!
hii ya kutafuta mwenza ni mfano mzuri wa models zenye omitted variables bias.
sasa hii sijui tunaweza ku-correct? au ndo haina solution, lol!
 
Umeongea maneno mazito sana..lolz
Ina maana unaamua wewe nini ukione kwa mwenzi wako?..na sio vile kinavyotakiwa kionwe?
Ila kwa sbabu ya upendo unaamua kutafsiri kwa kadri ya upendezavyo hata kama kwa wengine haiwapendezi...lolz
Nadhani ndo ile methali ya 'apendaye chongo huona kengeza inapoijia'

Mpaka kuwa naye maana yake nimempenda (I love what l see)
Pia nina machaguo ya kuamua nione sana nini au nisione nini, ninaweza nikaona SANA ucheshi wake na kuamua kuacha kuona ucareless wake. As binadamu ukichagua kuONA kitu chochote utakiona kwani unakikuza (magnify) kwa lenzi. Kuwa na machaguo ya nini unataka kuona si upofu bali ni degree kubwa sana ya VISIBILITY in my opinion.
 
Umesema maneno mazito sana mamaangu...
Na hapa ndipo wakati mwingine tunashindwa kutambua yanayoonekana...kwa sababu 'udhaifu' wa mweznio unaonekana kama 'strength'...nakubali kuwa mapenzi yana kawaida ya kuficha usione udhaifu lakini je? kuishi kwa kujilisha upepo hakuwezi kuwa kubaya zaidi?..kwanni hata ukimpenda mtu usione mapungufu yake na kujaribu kuyaishi au kuyarekebisha ikibidi??

Mapungufu gani hayo ambayo unaweza kuyarekebisha??

Ndiyo maana kuwa wengine tunaishi kwa principle ya kuukubali ukweli...lol!!

Babu DC!!
 
Kupenda tu kwenyewe ni 'myth'

Si kweli kwamba ukipenda mtu unakuwa blind, siamini hili
Ila kinachokuwepo ni kuwa, ukiwa mapenzini kuna kawaida ya kuyafumbia macho mapungufu ya mtu

Hata yale mapungufu yanayoudhi kabisa, unayavumilia kwa sababu tu, gharama ya kuvumilia mapungufu hayo unaona NAFUU kuliko gharama ya kumpoteza mtu huyo.
Kuvumilia kutokuwepo kwani inakuwa 'aghali' sana kuliko kuvumilia mapungufu yake.

Kama ujuavyo, ukiamua kufumbia macho na kuendelea naye, itafika mahali yule mtu unamzoea, hapo sasa gharama ya mapungufu inaanza kuwa unbearable. Ikizidi sana ndio watu huachana, unabaki kujiuliza, kwani hakuona mapungufu yake kabla hajakubali?

Kumbe ilikuwa kiwewe cha penzi bichi au changa
 
Mkuu saudari hapa ungefafanua zaidi bwana..
Manake kuna upofu wa kutokuona mabaya ya mwenzio na siku zote unakuwa unaona mazuri tu...japo siku ukiachana naye unagundua 'how worse she was'...

Mbona mie naona tofauti??

Nahisi kama ukiachana naya kama kweli alikuwa na strong positive attributes ndipo zinaanza kukumwagikia kama ndoto za alfajiri!

Babu DC!!
 
Lakini babu kuukubali UKWELI si lazima uwe na macho ya kuuona huo ukweli..?
Wakti mwingine kwa upofu wa mapenzi unaweza usione kuwa huo ukweli kama unaexist..
Mapungufu kwa lugha nyingine nadhani yanaweza kuwa ndiyo ukweli wenyewe..
Kukubali kuishi kwenye mazingira ya huo 'ukweli' inaweza kuwa option moja kati ya nyingi nahisi...

Mapungufu gani hayo ambayo unaweza kuyarekebisha??

Ndiyo maana kuwa wengine tunaishi kwa principle ya kuukubali ukweli...lol!!

Babu DC!!
 
hivi kumbe tuko wengi ambao tunavutiwa na wewe??
you are always good ma dearest, hdi huwa nataman akili na moyo wako.

Ayii that is very sweet; honestly ninakuadmire sana tu kwa uelewa wako wa mambo mengi, ujasiri na of course pamoja na moyo wa uvumilivu!
 
Mkuu saudari hapa ungefafanua zaidi bwana..
Manake kuna upofu wa kutokuona mabaya ya mwenzio na siku zote unakuwa unaona mazuri tu...japo siku ukiachana naye unagundua 'how worse she was'...

Muda mwingine unakuwa unayaona mabaya ila sio kila baya linafaa kusema sema ovyo inapasa mengine uyapotezee kwani hakuna mtu aliye kamili. Hebu fikiria kama kila mara utakuwa ukizozona na mwenzi wako kwa ajili ya yale mabaya, je ni wakati gani mtakuwa na furaha katika penzi lenu kama kila baya una mind?

Yawezekana ni baya ila angalia je hilo swala linaukubwa gani?
Je ukimweleza litasaidia au ndo kuongeza matatizo zaidi?
 
Hapa unanitafutia ugomvi dada yangu gfsonwin,

The simple answer is that, "she won the race"

Babu DC!!
ok sasa umeona enh! ni kwamba bibi aliuteka moyo wako kuliko wengine wote and she remains to be like that.
basi alishinda kwasababu aliuteka moyo wako na walioshindwa hawakuuteka moyo wako no matter other variables ziliprevail.
 
Mbona mie naona tofauti??

Nahisi kama ukiachana naya kama kweli alikuwa na strong positive attributes ndipo zinaanza kukumwagikia kama ndoto za alfajiri!

Babu DC!!
nakupendaaaje sasa unapoamuga kuwa mbishi ili kutufanya tumwagike mipwenti!love this way of teaching!
 
Ayii that is very sweet; honestly ninakuadmire sana tu kwa uelewa wako wa mambo mengi, ujasiri na of course pamoja na moyo wa uvumilivu!

love you hny. una moyo wa umama sana Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Umeongea maneno mazito sana..lolz
Ina maana unaamua wewe nini ukione kwa mwenzi wako?..na sio vile kinavyotakiwa kionwe?
Ila kwa sbabu ya upendo unaamua kutafsiri kwa kadri ya upendezavyo hata kama kwa wengine haiwapendezi...lolz
Nadhani ndo ile methali ya 'apendaye chongo huona kengeza inapoijia'

Vile kinavyotakiwa kuonwa ni jinsi ninavyokiona mimi; every body has authority juu ya kumtafsiri mwenzake, na the ONLY AUTHORITY mkuu ni MUNGU peke yake.

Hakuna hata siku moja JAMII ikawa na muono mmoja. So mimi nikimuona MZURI, l am RIGHT kama mwingine akimuona MBAYA he/she is also RIGHT.
 
hii ya kutafuta mwenza ni mfano mzuri wa models zenye omitted variables bias.
sasa hii sijui tunaweza ku-correct? au ndo haina solution, lol!

Huku sasa sitii mguu tena....hizo mathematical models nitadeal nazo vipi wakati hesabu zenyewe ni kama kudhungu za kuombea maji ya kunywa??

Ila bwana mapenzi ya kutafutia mwenza hawezi kuwa contant ukiwe enao A kama vile ambavyo ungekuwa eneo B...au uchumi umekubali tofauti kama ungekuwa unasaga lami...!!

Au nakosea mkubwa mwenzangu @FP???

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom