Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Naona leo Kongosho yuko full kama betri ya simu ya kichina....

Anaonesha asivyoachwa nyuma kwenye malavi davi...

Wengine tulishajistaafia...

Babu DC!!

Babu Dark City mzee mwenzangu:
Kongosho mi huwa nampenda bure tu kwa jinsi alivyo....sasa sijui ndo kuwa blind lakini nakubaliana na hilo....
 
Last edited by a moderator:
Mmh, huo urafiki wa mmoja kumla mwenzie kila siku siukubali

Siku moja moja na samaki amle paka basi


Dunia haiko fair kiasi hicho bwana Kongosho....

Najua hata panya huwa ana wishes kama hizo....lol

Ila mwisho wa siku inabidi naye atafute wanyonge wake....which another lever of being unfair!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaa, lol! kazana babu, wote twataka kwenda mbinguni ati.....


Kwenda huko ni gumu mkubwa mwenzangu...

Ila ni muhimu kuwapa wajukuu mfano kwamba life is never easy...

Babu DC!!
 
Mdogo wangu Blaine ninaposema nataka nione ilhali napenda namaanisha 'sitaki kuwa blind kwenye mapenzi'...nataka nimuone mpenzi wangu kama wengine wanavyomuona..nataka akikosea nione kweli kachemka na akinifurahisha nione kweli kanifurahisha...i want to see things in its view...

 
Last edited by a moderator:
haha haaaa nachokisema ni kwamba na mwita Kongosho na Bibi pia .... utajutaje sasa?


Utaweza kumwita BIbi??

Kama unao ubavu basi jaribu uone kasheshe yake...

Ngoja nimwite Smile aje ashuhudie moto unavyokuwakia...
Kongosho hata ukimwita, she is as harmless as lukewarm water...!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nadhani pia inakutokea aisee....
Kwa sababu unavyomuona mpenzi wako inakuwa sio kama vile wengine wamuonavyo!
Unajikuta unaweza kufunika hata ambayo hayafunikiki..kisa love is blind..

Very true aisee
unajikuta uko kwenye situation hujui umefikaje
 
I also thought huu ndo upofu tuusemao....
Pale ambapo you take things for granted in the name of love
Ila sio mbaya manake saudari kaongeza maana ingine....


 
Last edited by a moderator:
its hard kuwa objective with someone you love, anakupa furaha na distorts ur judgement slightly. e.g. i can heavily criticize a girl akichemka but bf wake ata(mis)interpret as nimemkashifu/dharau because yeye anatumua emotion/how he feels about her wakati miye natumia reasoning. love WILL make you blind na hii haiepukiki.

Thats y tunashauriwa kuepuka mahusiano na boss au kufanya 'critical' decisions kufuata maneno ya mke/mume wako
 
Last edited by a moderator:

Haya loliz nimekuelewa kwani hapa tupo kubadilishana mawazo na kutoana ujinga.

Vipi wale ambao ni waaminifu kwa wenzi wao, je tutawaita jina gani ni vipofu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…