Very true aisee
unajikuta uko kwenye situation hujui umefikaje
hizo mvi ni real au wigi. i've always thought of you as mama mdogo wa 35~40 y.o.you are right my dearwasije wakatuona na mvi zetu basi wakadhani ni rahisi rahisi tu
I also thought huu ndo upofu tuusemao....
Pale ambapo you take things for granted in the name of love
Ila sio mbaya manake saudari kaongeza maana ingine....
Haya loliz nimekuelewa kwani hapa tupo kubadilishana mawazo na kutoana ujinga.
Vipi wale ambao ni waaminifu kwa wenzi wao, je tutawaita jina gani ni vipofu au?
na maakili yako yote!
unakuwa kwishnehi babujhee!mweh!
haya makitu haya!
hiv huwa ni halucinationa enh!Mkuu we acha aisee....
Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...
Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....
The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..
Babu DC!!
Mkuu we acha aisee....
Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...
Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....
The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..
Babu DC!!
Dunia haiko fair kiasi hicho bwana Kongosho....
Najua hata panya huwa ana wishes kama hizo....lol
Ila mwisho wa siku inabidi naye atafute wanyonge wake....which another lever of being unfair!!
Babu DC!!
ahahahahhahhahahahhahahhahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh nimeimagine goli linasogezwa!mwenyewe unakuwa umepimia ahaaa goli lile pale lilivo pana nafunga!uuuwih kashalisogeza zamaaani!Wanawake wana namna ya 'kusogeza goli'
kwenye mahusiano bila mwanaume kujua
ukiamka unakuta goli lishasogezwa.....lol
ukilala tena,ukiamka duh...mpira umekwisha lol
Wanawake wana namna ya 'kusogeza goli'
kwenye mahusiano bila mwanaume kujua
ukiamka unakuta goli lishasogezwa.....lol
ukilala tena,ukiamka duh...mpira umekwisha lol
Uamnifu na upofu ni vitu viwili tofauti kabisa...
Cheating ni supernatural process inayojitegemea na ina forces zake ambazo hazina uhusiano na upeo wa mapenzi...
Wapo watu ambao hawaambiwi kitu kwa wapenzi wao ila bado wanacheat....
Ngoja nikuitie wazee wenzangu Asprin na Kaizer wakupige shule zaidi...
Babu DC!!
Hallucinations zingine ukiamua tu zinakwisha
zingine ni kujiendekeza....
its hard kuwa objective with someone you love, anakupa furaha na distorts ur judgement slightly. e.g. i can heavily criticize a girl akichemka but bf wake ata(mis)interpret as nimemkashifu/dharau because yeye anatumua emotion/how he feels about her wakati miye natumia reasoning. love WILL make you blind na hii haiepukiki. thats y tunashauriwa kuepuka mahusiano na boss au kufanya 'critical' decisions kufuata maneno ya mke/mume wako
Nani kasema niko harmless??
Nitampiga hata na kikombe kama sina nguvu
You have been warned!