Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Very true aisee
unajikuta uko kwenye situation hujui umefikaje

Mkuu we acha aisee....

Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...

Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....

The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..

Babu DC!!
 
I also thought huu ndo upofu tuusemao....
Pale ambapo you take things for granted in the name of love
Ila sio mbaya manake saudari kaongeza maana ingine....

Maana ni maana tu kwani hamna maana moja, kila mmoja huchukua jambo la kuliweka kwenye mfumo wake wa akili huku akilitafakari na kupata maana yake, ndo maana tukapewa muda wa kifikiri na kutoa mawazo yetu.
 
Haya loliz nimekuelewa kwani hapa tupo kubadilishana mawazo na kutoana ujinga.

Vipi wale ambao ni waaminifu kwa wenzi wao, je tutawaita jina gani ni vipofu au?


Uamnifu na upofu ni vitu viwili tofauti kabisa...

Cheating ni supernatural process inayojitegemea na ina forces zake ambazo hazina uhusiano na upeo wa mapenzi...

Wapo watu ambao hawaambiwi kitu kwa wapenzi wao ila bado wanacheat....

Ngoja nikuitie wazee wenzangu Asprin na Kaizer wakupige shule zaidi...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City
kwani leo una nini?,mbn wafuta kila unachoandika au ndo kusema uko blind sana mweee!viiipi babu!


Matatizo ya mtandao mdodo wangu...

Wala siyo kwamba nabugii step....

Akili iko mzima kabisa..ingawa kuna kasaumu kanasumbua...

Babu DC!!
 
Mkuu we acha aisee....

Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...

Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....

The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..

Babu DC!!
hiv huwa ni halucinationa enh!
mwee mi cudnt think of it tht way!
tunahalucinetikaaaje saaasa!
 
Babu na neggirl??

Mnafanya nini?

Ujue babu nitakapiga kajukuu kako, kanaanza kukumendea.
( Nimegundua wazee wenzangu humu ni wachache sana, bila kutangaza wazee jf ni 'endangered specie', wanaweza wakaliwa na vitoto wakati kuna vitit wenzao wa kuwala )

Soma post #62 ...

Unasemaje??

Naamini Kongosho hatasoma hapa....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu we acha aisee....

Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...

Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....

The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..

Babu DC!!

Hallucinations zingine ukiamua tu zinakwisha
zingine ni kujiendekeza....
 
Inakuwa unfair zaidi yule uliye-turn a blind eye kwa mapungufu yake anapoku-dissapoint

Unabaki kubung'aa tu, unarudi kwa wale wale waliokuonya kama walikuwepo

Dunia haiko fair kiasi hicho bwana Kongosho....

Najua hata panya huwa ana wishes kama hizo....lol

Ila mwisho wa siku inabidi naye atafute wanyonge wake....which another lever of being unfair!!

Babu DC!!
 
When a man loves a woman
Deep down in his soul
She can bring him such misery......those words!!!!:crying:
 
Wanawake wana namna ya 'kusogeza goli'
kwenye mahusiano bila mwanaume kujua
ukiamka unakuta goli lishasogezwa.....lol
ukilala tena,ukiamka duh...mpira umekwisha lol
ahahahahhahhahahahhahahhahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh nimeimagine goli linasogezwa!mwenyewe unakuwa umepimia ahaaa goli lile pale lilivo pana nafunga!uuuwih kashalisogeza zamaaani!
unakosaaaje!
unajipanga upya unaanza tena!ukija na maspidi yako ah saa nyngi!tulishaliongeza !kitu ndani ya box!
ahahhahaha yani umenifanya nimalize uchovu wote wa kazi jtatu hii best!duh! gfsonwin enh kamatia nguzo za goli !
 
Last edited by a moderator:
Nani kasema niko harmless??

Nitampiga hata na kikombe kama sina nguvu

You have been warned!

Utaweza kumwita BIbi??

Kama unao ubavu basi jaribu uone kasheshe yake...

Ngoja nimwite Smile aje ashuhudie moto unavyokuwakia...
Kongosho hata ukimwita, she is as harmless as lukewarm water...!!

Babu DC!!
 
Wanawake wana namna ya 'kusogeza goli'
kwenye mahusiano bila mwanaume kujua
ukiamka unakuta goli lishasogezwa.....lol
ukilala tena,ukiamka duh...mpira umekwisha lol

ahahahahhahhahahahhahahhahahumenifanya nipaliwe ujue!

nimeimagine goli linasogezwa!mwenyewe unakuwa umepimia ahaaa goli lile pale lilivo pana nafunga!uuuwih kashalisogeza zamaaani!

unakosaaaje! unajipanga upya unaanza tena!ukija na maspidi yako ah saa nyngi!tulishaliongeza !kitu ndani ya box!

Ahahhahaha yani umenifanya nimalize uchovu wote wa kazi jtatu hii best!duh! gfsonwin enh kamatia nguzo za goli !
 
Last edited by a moderator:
Uamnifu na upofu ni vitu viwili tofauti kabisa...

Cheating ni supernatural process inayojitegemea na ina forces zake ambazo hazina uhusiano na upeo wa mapenzi...

Wapo watu ambao hawaambiwi kitu kwa wapenzi wao ila bado wanacheat....

Ngoja nikuitie wazee wenzangu Asprin na Kaizer wakupige shule zaidi...

Babu DC!!

Kwahiyo wale watu wanaokaa kwenye ndoa yao kwa muda ni kwamba hawana hizo aina ya force au ni vipi?
Na hizo forces ni zipi?
 
Hallucinations zingine ukiamua tu zinakwisha
zingine ni kujiendekeza....


Mkuu ila nyingine ni beyond kujiendekeza au kuigiza....

Hivi ina maana wewe hujawahi kutandika kitanda mara kumi kumi au kudeki room kama mara 3 hivi ndani ya lisaa limoja kisa, una appointment??

Yaani damu inazunguka utadhani mwilini una mapipa kama mawili hivi....lol!!

Ni tamu ila sasa ni deadly....

Babu DC!!
 
So, you mean its something uncontrollable and unconditional..right?
Kwamba ukishafall in love with somebody unapoteza ile 'reasoning' power yako na unafanya judgements na decision based on you 'emotional feelings'? Lakini wakati mwingine nadhani unaweza pia kunampenda mtu na unaona kabisa afanyayo sio sahihi..but unafanya just kumfurahisha ili asikasirike though moyo wako unajua kabisa amechemka..unafanya 'makusudi' kutoona but in reality you just see na unaujua ukweli.

Huu unaweza usiwe upofu bali ni 'pretendence'. I still think unaweza ukawa impartial kwenye maamuzi hata kama yanainvolve your partner...kikubwa do it from the get go...

its hard kuwa objective with someone you love, anakupa furaha na distorts ur judgement slightly. e.g. i can heavily criticize a girl akichemka but bf wake ata(mis)interpret as nimemkashifu/dharau because yeye anatumua emotion/how he feels about her wakati miye natumia reasoning. love WILL make you blind na hii haiepukiki. thats y tunashauriwa kuepuka mahusiano na boss au kufanya 'critical' decisions kufuata maneno ya mke/mume wako
 
Back
Top Bottom