Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
umeona eeeh!ahahahhahahhah dada mkubwaaaaa!umenikumbusha mbali sana i see!mweh!
TUMETOKA MBALI SANA!mnoooo!
Upofu plus limbwata...sipati picha utakuwa kiumbe wa namna gani..
Kuhamisha goli nadhani Dark City na The Boss wanaweza kulisemea..
Manake mengine tunayapatia hapa hapa jf.....kitu hallucination ulikuwa unakijua?
ha ha haaaa, tumbo langu mie jamani.....Bora kuumwa jino kuliko kukutana na missed opportunity kama hiyo....
Ningekuwa singer nigetunga wimbo kuhusu hiyo experience....
Nyingine inayouma sana ni kuachwa nje ya geti....
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh,
Evolution ya binadamu ni kiboko..
Babu DC!!
mzee k chai tu ya tangawizi na karanga kwisha habari yake!usingizi wake saafi!watu tunaenda kuangalia rum zilizopigwa deki mra kumi kumi!umeona eeeh!
wenzio kila jumatatu tulikuwa tunaulizia shift za mama k za wiki nzima ili ujipange......
mzee hakuwa na shida sana, mida yake inajulikana na pia akiwa home ukimpoza na thermos ya chai tu umemaliza kazi.
now you are talking.......shikamoo dada :A S-heart-2: :A S-heart-2:
umeona eeeh! hapo husahau kumsogezea kabisa magazeti yake asije akaita jina lako wenzako wakapata dhambi kwa kusingizia upo kwa toilet, lol!mzee k chai tu ya tangawizi na karanga kwisha habari yake!usingizi wake saafi!watu tunaenda kuangalia rum zilizopigwa deki mra kumi kumi!
bati la mzee k limerushiwa sana mawe jamani mwee!ha ha haaaa, tumbo langu mie jamani.....
ila zamani haikuwa intentional.....
ukiona kimya au umeachwa getini ujue kuna sababu....
na pia ujue huyo aliye ndani ya geti anaumwa tumbo huko kwa kushindwa kuonana na mupenzi.
nilikuwa sijakipatia istilahi tu kitu halucinations ila hii kuhamishiwa goli sikuwahi kuiimagine kwenye haya makitu!yani nikikumbuka mchezo tulikuwa tunafanya tukienda kushangilia timu ya wavulana wakiwa wancheza af tunakaa kweny goli wakiwa wamekomaa wenyee na mpira sisi huku tunahamisha magoli!sasa The Boss alivoisema hapa nimejaribu kuipigia picha mwanaume anahamishiwa goli anakuja kustuka mpira umeisha!kitu ndani ya box
what does that mean?? sijawahi kuelewa hiyo methali/msemo/nahauwacha kabisa!KIPYA KINYEMI babu!
oh!
chezeya kununua white pants wewe!uuwih!kumbe zote hizo ni halucinations!daaaamn tumetoka mbali sana i see!wacheni vijana tu wawehuke!OH NIMEMPATA WA KUFANANA NAE!chezeya kuhamishiwa goli wewe!sosi The Boss
babu usipate shida wala nini, mimi nitakutetea kuwa ilikuwa mazungumzo baada ya habari....
umeona eeeh! hapo husahau kumsogezea kabisa magazeti yake asije akaita jina lako wenzako wakapata dhambi kwa kusingizia upo kwa toilet, lol!
umeona eeh!Wewe naona ndo mtaalamu wa kuhamisha magoli
naona umeguuswa hapa
Wewe naona ndo mtaalamu wa kuhamisha magoli
naona umeguuswa hapa
ha ha haaaachezeya gaezti la daily news lilivo kubwa l,azima akimaliza alale!umesahau dada mkubwa unapeleka gazseti na miwani kabisa!lol!
NItakunong'oneza badae, hapa pamejaa mno
Naona aibu:tape2:
umeona eeh!
wakati mimi hapa na-struggle kuelewa ulikuwa unamaanisha nini naona mlongo wangu anaipigilia mistari 20 20, lol!
mie mzima tuu, hiyo avatar yako...........now you are talking.......marahaba mdogo wangu..... salama wewe?