Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
umeona eeeh!ahahahhahahhah dada mkubwaaaaa!umenikumbusha mbali sana i see!mweh!
TUMETOKA MBALI SANA!mnoooo!
wenzio kila jumatatu tulikuwa tunaulizia shift za mama k za wiki nzima ili ujipange......
mzee hakuwa na shida sana, mida yake inajulikana na pia akiwa home ukimpoza na thermos ya chai tu umemaliza kazi.