"Loving eyes can never see" ina maana kuwa kama una crush on someone hutaona what he or she really is hata kama ni kichaa. Utamwona kama unavyotaka kumwona. Utamchukulia kama the most handsome or beautiful man or woman in the world. The perfect one.
Inaweza pia kuwa na maana kuwa huyo mpendwa anakutumia kwa sababu he or she has a crush you wouldn't notice. Wapo ambao wakiwa in love with you, they won't see your faults. Ni sawa na quotes moja inayosema "the more in love you are, the less sense anything makes."
Hata kama ukiona qualities zake mbaya bado utam-defend by whatever means when someone has accused him or her of wrong doing. Unakuwa unamwamini yeye kwa chochote atakachosema.
Wakati mwingine watu wanapokuwa kwenye mapenzi wanaiona dunia in rose coloured glasses. Hii huwa inawatokea mara nyingi wasichana wadogo wanapo-fall in love kwa mara ya kwanza. Atampenda boyfriend wake na ataamini kuwa mabaya yanayosemwa na watu juu ya huyo boyfriend ni false accusations.
But why loving eyes can never see? Kuna sababu mbalimbali. Mojawapo ni kuwa unapo fall in love kwa mara ya kwanza your emotions will be running very high. Unataka tuu kuona unachotaka kuona. Unakuwa na tendence ya ku-overlook those things you really should take a good look at.
It is the old cliché - love is blind. Unfortunately, reality sets in and the day to day doldrums of living wash away the protective veil and you say. OMG WHAT WAS I THINKING?
Lakini kusema ukweli kuna wanawake ambao wakikupenda watakupenda in real regardless of how you are. Those women are still in existence hata kwenye dunia ya leo.
She could be your mother, your wife, you girlfriend, your grandmother, your friend or any woman. They love to love.