Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

wewe babu sema tu hayajakukuta siku za karibuni.....
juzi hapa kuna kitu kilitokea mimi na teja wangu wote bado tulazwe....
mbaya zaidi kila mtu alikuwa mbali na mwenzie.
....... haya mambo sijui yapoje aiseee.
watu wazima mnaweza mkarudia u-teen hivi hivi mnajiona

Hapana bwana hata yakikukuta, huwezi kurudia vituko vya 1947.....??

Yaani akichelewa dakika 10 na wewe unakimbia toilet mara kama 20....lol!!

Tumbo linachanganya hadi mtu unakuwa kama unakaribia kukimbizwa labour room...lol!!

That was not healthy...lol!!

BTW: Na nyie mmeenza michezo ya kwenye simu kama madogo wa digitali??

Babu DC!!
 
Umehamisha magoli?...lolz
Funguka basi hapa kwa msaada wa watu wa Marekani..

dada mkubwa we acha tu!yani huo mchezo wa kuhamisha magoli mi nilikuwa ndo mtaaalam sio utani!sasa nilipoipigia picha kwenye haya makitu sina mbavu!nakumbukaaga timu pinzani zilivokuwa zinaumiza kichwa wamekosaje goli!
hatujakaa vizuri mpira umeisha!mweee!
 
NItakunong'oneza badae, hapa pamejaa mno

Naona aibu:tape2:

Wewe Kongosho?

Umeanza lini haya mambo? Mie nilifundishwa enzi hizo kwamba aibu ni mdogo wake shetani.....kwa hiyo hata wewe una undugu na shetani??

Ngoja nimwite Bibi anipe msaada hapa...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ndo maana soon nitarudisha ile graph yangu.....
maana naona sasa nazidi ku-mislead vijana wengi sana.
kaghorofa nilishajenga na hata prado nimeshapata (kwa hii hii avatar, lol!). labda tufanye kolabo tujenge shule..... maana hapo panahitaji bodyguard

Hapa naona dalili za kolabo ya ukubwani inanukia..

Ngoja kwana nikamsomeshe Bibi...lol!!

Babu DC!!
 
dada mkubwa we acha tu!yani huo mchezo wa kuhamisha magoli mi nilikuwa ndo mtaaalam sio utani!sasa nilipoipigia picha kwenye haya makitu sina mbavu!nakumbukaaga timu pinzani zilivokuwa zinaumiza kichwa wamekosaje goli!
hatujakaa vizuri mpira umeisha!mweee!
du!
haya basi mdogo wangu utanielewesha zaidi chemba, maana na utu uzima huu naona nazidi kwenda chaka, lol!
 
Hapana bwana hata yakikukuta, huwezi kurudia vituko vya 1947.....??

Yaani akichelewa dakika 10 na wewe unakimbia toilet mara kama 20....lol!!

Tumbo linachanganya hadi mtu unakuwa kama unakaribia kukimbizwa labour room...lol!!

That was not healthy...lol!!

BTW: Na nyie mmeenza michezo ya kwenye simu kama madogo wa digitali??

Babu DC!!
kuna mengine yapo constant babu, usinibishie maana yananikuta mzee mwenzio, lol!
yaani kila siku afadhali ya jana, sasa sijui naumwa! hebu nidadavulie mwenzangu
 
Umehamisha magoli?...lolz
Funguka basi hapa kwa msaada wa watu wa Marekani..
pacha hujacheza chandimu wewe nin!
unajua wengine tulikuwa wadau kweli wa kushangilia timu za shule hata kama mpira hatuujui na kazi yetu ilikuwa ni hiyo tu!
kitu una pensi kali af unawekwa goli pinzani!
sasa magoli si ni mawe!na yana urefu fulani sasa yalikuwa aida yanasogezwa kati au pembeni!so goli linakosekana wakti ilikuwa mtu afunge!
sas kwenye haya makitu inakuwa hvo hvo
mtu anatest zali ah napita tuu
anakuja kustuka kashakaa na mkeka kaweka mwenywe!
 
ha ha haaaa
na la jana yake maana lazima kuna habari atakuwa hakuimalizia......

Hapa sasa naona tunahamia side B.....

Endeleeni kutupa utamu jinsi mlivyokuwa mnahangaika kutomiss appoitments.....

Kazi kweli kweli...

Nilipokuwa mdogo nilikuwa kiazi kweli....nilijua wanawake hawapati kitu chochote kwenye haya mambo ya egoli egoli...

Babu DC!!
 
ha ha haaaa, lol! babu umenichekesha sana....
Wallah sikutegemea ungeenda huko.
naonaje aibu sasa? utafikiri hapa kuna mtu ananiangalia, lol!

Unaonaje tuzifute hiz posts?

Hii ni yakiutu uzima bwana...

Tuwaeleze hawa madogo wasije kuhisi kwamba tumeanza kutambaa ukubwani..lol!!

Babu DC!!
 
"Loving eyes can never see" ina maana kuwa kama una crush on someone hutaona what he or she really is hata kama ni kichaa. Utamwona kama unavyotaka kumwona. Utamchukulia kama the most handsome or beautiful man or woman in the world. The perfect one.

Inaweza pia kuwa na maana kuwa huyo mpendwa anakutumia kwa sababu he or she has a crush you wouldn't notice. Wapo ambao wakiwa in love with you, they won't see your faults. Ni sawa na quotes moja inayosema "the more in love you are, the less sense anything makes."

Hata kama ukiona qualities zake mbaya bado utam-defend by whatever means when someone has accused him or her of wrong doing. Unakuwa unamwamini yeye kwa chochote atakachosema.

Wakati mwingine watu wanapokuwa kwenye mapenzi wanaiona dunia in rose coloured glasses. Hii huwa inawatokea mara nyingi wasichana wadogo wanapo-fall in love kwa mara ya kwanza. Atampenda boyfriend wake na ataamini kuwa mabaya yanayosemwa na watu juu ya huyo boyfriend ni false accusations.

But why loving eyes can never see? Kuna sababu mbalimbali. Mojawapo ni kuwa unapo fall in love kwa mara ya kwanza your emotions will be running very high. Unataka tuu kuona unachotaka kuona. Unakuwa na tendence ya ku-overlook those things you really should take a good look at.

It is the old cliché - love is blind. Unfortunately, reality sets in and the day to day doldrums of living wash away the protective veil and you say. OMG WHAT WAS I THINKING?

Lakini kusema ukweli kuna wanawake ambao wakikupenda watakupenda in real regardless of how you are. Those women are still in existence hata kwenye dunia ya leo.

She could be your mother, your wife, you girlfriend, your grandmother, your friend or any woman. They love to love.

Last edited by a moderator:
Hapa sasa naona tunahamia side B.....

Endeleeni kutupa utamu jinsi mlivyokuwa mnahangaika kutomiss appoitments.....

Kazi kweli kweli...

Nilipokuwa mdogo nilikuwa kiazi kweli....nilijua wanawake hawapati kitu chochote kwenye haya mambo ya egoli egoli...

Babu DC!!
he he heeee sasa ulifikiria kwa nini tupate tabu ya kutoroka?
yaani kuhangaika kote nakimbilia kupata sifuri? chonde babu....
kazi ilikuwa rahisi kidogo ukiwa na kaka/binamu ambaye mnaiva...... kila sehemu mnasindikizana, lol!
 
Ndiyo maana nikasema kuwa nilikuwa kiazi kweli kweli...

Siku moja nilimwambia dada yangu aachane na mume wake aliyekuwa anamtwanga mangumi arudi home....

My grounds were...kila kitu nyumbani kipo sasa kwa nini anateseka??

Poor me...I was very naive!

ha ha haaaa, I hope hakukuangushia ngumi kidogo, how could you?
ila babu hii ni siri yako (siku ya kwanza niliapa sitarudia tena, na kuwashangaa sana dada zangu kwa nini walikuwa wanatoroka home? kwa kitu gani hasa?)
nilikuwa better-off kuishia kwenye I love you, I love you too, lol!
 
Back
Top Bottom