CANVAS Business Model

Nimeenda hii. Naomba nikucheki kwa personal issues. Hii ya siasa na executions kama inameki sensi hivi. Kunakuwaga na kigepu hapa katikati kinachofanya kampuni nyingi kuwa vilevile miaka 100 ijayo
Kufanya mambo kimazoea.

Tuendelee kuelimishana hapahapa tu.
 
Simple tu fungua biashara yako
 
Mkuu samahani, hivi ni mtu yoyote anayezingatia kanuni za biashara anaweza kuwa mfanya biashara au ni mtu maalum aliejaliwa Karama ya biashara ndie anapaswa kuwa mfanya biashara?
Mtu yyt anaweza kuendesha biashara kama anajua. Japo sikatai kuna watu wana talent. Huwa napenda kutumia mfano wa messi na ronaldo. Messi ana talent, ronaldo ana tia kazi na mazoezi kiwango cha juu sana. Hvohvo kwenye business.

Nilikua UAE one time kwenye mkutano na foundation yao moja hivi. Wahusika (waarabu) wako pembeni kabisa, tunanegotiate na wazungu tu. Hata boss wa dp world ni sultan fln hv ila wanaoiendesha ile ni wazungu.

Education matters if u are not born with skills. Ila hata kama umezaliwa na skills lazima ujiendeleze otherwise biashara yako itafikia mahala iache kukua, na ikiacha kukua huku uchumi unakua basi ujue unatolewa kwenye game soon
 
Bias na mazoea ndo vinaua biashara nyingi.

Mtu unalazimisha bias yako kwenye biashara hata kama reality ni tofauti.
 
Nimeenda hii. Naomba nikucheki kwa personal issues. Hii ya siasa na executions kama inameki sensi hivi. Kunakuwaga na kigepu hapa katikati kinachofanya kampuni nyingi kuwa vilevile miaka 100 ijayo
Nimesema hapo juu. Bias na Mazoea.

Data zinakwambia hv ww unakazana kufanya tofauti, lazima usione progress yyt hapo
 
Sijajua kama mnatoa services au ni products based.

Pricing ni sector nyeti sana, watu wanaichukulia poa mnoo.

Factors nyingi sana zinaendesha hilo.

Mfano kama product/service ww ndo unaitengeneza/kutoa basi una wigo mpana wa kuset price tofauti na reseller.

Jua psychology ya wateja pia itakusaidia. Mfano hata ww ukienda kununua kitu dukani au kwa mtu unatoka na hisia tatu 1)umempiga 2)amekupiga 3)mmetoka sawa.

Sasa kama unataka kukuza pricing kwa hapa africa especially tz ambapo wachache wananunua vitu sababu ya classy(ndo maana we're chinese dump) basi fanya mteja wako aone 'amekupiga' hapo utauza mpaka wakuulize unatumia mganga gani.

Na kichekesho kingine ni pale mtu anataka kukuza price wakati hajatengeneza monopoly kwanza. Hao wateja unaowaita wako watakukimbia waende kwa competitor wako.

Hili ni somo refu anyway
 
Kupandisha bei pia inawezekana kama wametengeneza monopoly kwenye hio sector mahala walipo.

Kama nilivosema hapo juu pricing ni sector nyeti sana.

Mfano kama ww biashara yako ni utengenezaji wa vipodozi na unatengeneza mwenyewe hadi kuuza basi ukicheza na pricing na psychology ya wateja wako (halafu una wateja category rahisi sana, wanaopenda vipodozi ni easy kuwa manipulated kiakili aidha wawe wa kiume au wa kike).
 
Ok
 
Nimemjibu kutokana na maelezo yake nikaona bado hakuwa na ssbabu za msingi kupandisha bei

NB: najibu kwa uzoefu sina taaluma ya biashara
 
Kam mteja akitoka na hisi kwamba wote mmepato sawa. What are the possibilities?
 
Nimemjibu kutokana na maelezo yake nikaona bado hakuwa na ssbabu za msingi kupandisha bei

NB: najibu kwa uzoefu sina taaluma ya biashara
Hili jibu ya kuwapoteza ulikuwa nao liko more significant to us. Mana bei ikiongexeka na product Iko vilevile. Wateja questions zitakuwa nyingi... Watahisi wakuongexa Leo next year myawapandishia Tena.
 
Hili jibu ya kuwapoteza ulikuwa nao liko more significant to us. Mana bei ikiongexeka na product Iko vilevile. Wateja questions zitakuwa nyingi... Watahisi wakuongexa Leo next year myawapandishia Tena.
Naaam ndio maana kunakuwaga na sababu za msingi sana kwenye kuongeza bei mimi huwa nafanya rebranding upya na kuongeza quality kidogo,then kwenye matangazo naiua ile ya mwanzo naipromote hii hapo naongeza na tumaneno kama advanced formula au with vitamin e&c and the likes
 
Task: how and which strategies to adopt, itakayohakikisha hawa uliokuwa nao utakuwa nao kesho na kesho?.
Mkuu, Ukijibu haya Maswali tunaweza kupata Strategy itayobakisha wateja na bei ukaongeza na bado ukauza.

1. Hao wateja ulionao ni wale wananunua ili nao wakauze(WAUZAJI) au wale wananunua ili watumie (WATUMIAJI au final users)?
2. Hizo bidhaa unazouza ni Unazitengeneza mwenyewe, Unaziingiza Nchini mwenyewe au Unazinunua hapahapa na kuongeza bei kidogo kisha unauza?
3. Bidhaa/huduma mnayotoa ni Mpya Sokoni au tayari ipo siku nyingi? Endapo tayari ilikuwepo, Je, Strategy mliyowapata hao wateja mlionao, mlitumia UBORA WA BIDHAA YENU(quality) au MLISHUSHA BEI ILIYOKUWEPO SOKONI(Price)?

USHAURI GENERAL.
Watanzania wengi hatuna mbinu mpya ya kuingia sokoni tofauti na kushusha bei. so kama na nyie mlitumia hio mbinu ya kitanzania kujipatia wateja mlionao, basi MKIONGEZA bei ni LAZIMA mtawapoteza WOTE. Na mkipandisha bei, atatokea Mtanzania mwingine atashusha bei kama kawaida na atawachukua wateja wenu. Unless kama mlitumia QUALITY ili muuze ndio mnaweza jadili kupandisha bei. Otherwise FALSE.

Asante.
 
Kweli nimeamini wewe jamaa ni fundi wa biashara haubahatishi yaani kwa statements ulizotoa hapa ziko na logic kubwa sana nimejifunza kitu.
muda wowote nikianzisha kampuni nitakutafuta mkuu kwa ajili ya kupata shule.
 
inakusaidia sana tena in a direct way
Soma tu kwakutulia hakuna biashara isiyokuwa na hayo mambo tisa unless uwe unafanya kama sadaka
Katika mazingira ya kibongo...
Usafiri wa vyombo mchanganyiko.......malori transit....mabasi njia ya vumbi....
Mafuta ya kidebe...spare za wizi...vibali hakuna....pick up za mkaa na bodaboda.
N.b. katika mazingira yasiokuwa na ushindani.i.e.machicha kwenye transit ndio yana run vyombo vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…