joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wengi wetu tunasikia neno"ila hatuliishi neno la Mungu",tatizo linakuja kwenye kumtambua aliye lisikia neno la Mungu,na AKALISHIKA NA KULIISHI NENO LA MUNGU (hapa wengi tunafeli).Mdau amezungumzia kushika neno la Mungu, wewe unazungumzia 'huko kanisani'... Mnaongelea vitu viwili tofauti, ipo tofauti ya kuokoka na kusali kwa walokole. Ukishika neno la Mungu kama mdau alivyosema hakika utapona
Na sio kwamba wote waliopata huu ugonjwa hawakulishika neno la Mungu au wadhambi no,kuna wengine wao ni waaminifu wanamjua na kumshika Mungu ila wenza wao waliokuwa wanawaamini kwamba wanaliishi neno la Mungu kumbe sio waaminifu.