Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Jamani na kichwa ngumu huyo msanii ni Nani maana bongo flavor ya jux najua moja tu the test sijui
Duuuh aseeeeeh kabisaaa dea wee hujamjua tyuuh, panga vuzur hili neno, "dnyde" utapata jina
 
Sijarudia hoja bali nimepinga kusema walio athirika hawakulishika neno la Mungu na wewe nime kushangaa kusema utetezi wa kijinga,manake kama unacoclude wathirika wote hawakulishika neno la Mungu.
Sijasema hivyo usiniwekee maneno mdomoni. Point yangu ni kuwa tusishike neno la Mungu kwa kuwa wapo wanaopata ugonjwa licha ya kulishika neno? Timiza wajibu wako wa kujilinda wewe kama wewe, ukiletewa iwe bahati mbaya
 
Kumjua nani kalishika inakuwa kazi yako hasa unapotafuta mwenza wa maisha yako au unapoishi na mwenza wako.

Hivi unajua kuna wakina mama wengi pamoja na kumjua Mungu,waaminifu lakini ugonjwa huu wameletewa na waume zao,hivyo hivyo kwa wanawame unayajua haya?

Sasa utasema hawa wamepata ugonjwa huu sababu hawajalijua neno la Mungu au hawajamshika Mungu?

Kuna watu wepata huu ugonjwa sio kwamba walikuwa wazinzi NO na kuokoka au kulishika neno la Mungu sio kwamba eti hutapata magonjwa NO.
Kuna mama alifariki 2013 aliletewa na mumewe yuko serikalini ni mtu wa safari sana yeye bado anadunda japo kuna kipindi afya ilimyumbia naona akakimbilia ARV angemshauri na mkewe ingesaidia sasa akafichaficha mama wa watu mama wa nyumbani kaugua mpaka kafariki.
 
Sijasema hivyo usiniwekee maneno mdomoni. Point yangu ni kuwa tusishike neno la Mungu kwa kuwa wapo wanaopata ugonjwa licha ya kulishika neno? Timiza wajibu wako wa kujilinda wewe kama wewe, ukiletewa iwe bahati mbaya
Sijajua hapa ulimaanisha nini?

"Huo utetezi wa kusema si kila aliyepata hakushika neno ni utetezi wa kipuuzi..."

Kauli yangu mimi nilicho manisha ni hiki ulichokiandika wewe ambacho mwanzo ulikipinga.

"Timiza wajibu wako wa kujilinda wewe kama wewe, ukiletewa iwe bahati mbaya"

Ndio maana nikasema kuna watu wamepata ugonjwa huu sio kwamba eti walikuwa hawajamshika Mungu ,bali imani yao kwa wenza wao ndio imewaponza.
So unaweza ukatimiza wajibu wako vipi nae mwenza wako? ndicho nilicho maanisha mimi na kam hujui issue kama hizi kwenye ndoa zipo nyingi sana.
 
Sijajua hapa ulimaanisha nini?

"Huo utetezi wa kusema si kila aliyepata hakushika neno ni utetezi wa kipuuzi..."

Kauli yangu mimi nilicho manisha ni hiki ulichokiandika wewe ambacho mwanzo ulikipinga.

"Timiza wajibu wako wa kujilinda wewe kama wewe, ukiletewa iwe bahati mbaya"

Ndio maana nikasema kuna watu wamepata ugonjwa huu sio kwamba eti walikuwa hawajamshika Mungu ,bali imani yao kwa wenza wao ndio imewaponza.
So unaweza ukatimiza wajibu wako vipi nae mwenza wako ndicho nilicho maanisha mimi.
Nimesema ni utetezi wa kipuuzi kwa sababu wewe unasema kushika neno la Mungu sio kinga maana wapo walioshika na wakapata. Kwa hiyo tuache kushika neno kwa sababu unaweza ukashika na ukaletewa na mwenza?
 
Sasa km list Ni ndefu hivi..hizo ARV wanaenda kuchukua hosp gani kwa vificho maana mahosp sehemu za Arv zinajulikana
Au ndo wanafanyiwa delivery 🙄🙄
 
Nimesema ni utetezi wa kipuuzi kwa sababu wewe unasema kushika neno la Mungu sio kinga maana wapo walioshika na wakapata. Kwa hiyo tuache kushika neno kwa sababu unaweza ukashika na ukaletewa na mwenza?
Sikumanisha hivyo na neno Mungu kulishika aimanishi eti hutokutwa na ugonjwa NO.

Kushika shika ndio wajibu wako wa kwanza kulishika na kuliishi neno la Mungu,lkn sio kwamba eti hutokutwa ugonjwa NO sababu umelishika neno la Mungu.

Sometimes ugonjwa huo huo ambao unaweza ukaupata kwa BAHATI MBAYA ukawa ni kipimo cha IMANI YAKO.
 
Sasa km list Ni ndefu hivi..hizo ARV wanaenda kuchukua hosp gani kwa vificho maana mahosp sehemu za Arv zinajulikana
Au ndo wanafanyiwa delivery [emoji849][emoji849]
Mfano wa Temeke anaenda ubungo, wa Ubungo anaenda Temeke.
 
Sikumanisha hivyo na neno Mungu kulishika aimanishi eti hutokutwa na ugonjwa NO.

Kushika shika ndio wajibu wako wa kwanza kulishika na kuliishi neno la Mungu,lkn sio kwamba eti hutokutwa ugonjwa NO sababu umelishika neno la Mungu.

Sometimes ugonjwa huo huo ambao unaweza ukaupata kwa BAHATI MBAYA ukawa ni kipimo cha IMANI YAKO.
Unanichosha tu wewe unatoa hoja na kujibu mwenyewe...ngoja nikakojoe nilale zangu
 
Wabongo bana Kuna magonjwa hatari Kama kansa au homa ya ini , kisukari na kufeli kwa Figo ndio magonjwa mnapaswa kujiepusha nayo na sio Huo upuuzi eti HIV ... Hizo ni biashara za watu.Ukimwi kila mtu anao.. Kwani nani Hana ukimwi !! Nani Kinga zake huwa hazishuki ? Hata stress zinashusha kinga Sasa mnashangaa Nini.

Achaneni na huo utumwa wa wazungu kuwageuza soko la hizo ARVs zao zinazoenda kuharibu Figo, ini na kusababisha kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake (cervical cancer). Ukifuatilia watu wote wanaotumia ARVs mwisho wa siku hufa na moja ya hayo magonjwa.

Kwa hizi network zilizotajwa humu Kama kweli kungekuwa na uhalisia wa huo upuuzi HIV Basi nchi nzima ingekuwa na waathirika wa ukimwi maana ni nadra kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja. Halafu hivi tangu lini Kinga zangu kuwa chini zinaweza kumuambukiza mtu mwingine ???

Hivi mnajua stress zinashusha kinga ? Sasa nitawezaje kumuambukiza mtu mwingine mwenye Kinga na mzima kabisa !!! ... Mambo mengine sio mpaka muende vyuon tumien common sense

Acheni ngono zembe msije kupata homa ya ini na magonjwa mengine na sio eti HIV ... Hakuna hicho Kitu guys. Mnateketea kwa kukosa maarifa.
Kama virus si kwel nakuomba nenda ambiance chkua malaya piga kavu ndan ya mwez m1 uje utoe uthibitisho wa theory yako
 
Back
Top Bottom