Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Mdau amezungumzia kushika neno la Mungu, wewe unazungumzia 'huko kanisani'... Mnaongelea vitu viwili tofauti, ipo tofauti ya kuokoka na kusali kwa walokole. Ukishika neno la Mungu kama mdau alivyosema hakika utapona
Wengi wetu tunasikia neno"ila hatuliishi neno la Mungu",tatizo linakuja kwenye kumtambua aliye lisikia neno la Mungu,na AKALISHIKA NA KULIISHI NENO LA MUNGU (hapa wengi tunafeli).

Na sio kwamba wote waliopata huu ugonjwa hawakulishika neno la Mungu au wadhambi no,kuna wengine wao ni waaminifu wanamjua na kumshika Mungu ila wenza wao waliokuwa wanawaamini kwamba wanaliishi neno la Mungu kumbe sio waaminifu.
 
Mdau amezungumzia kushika neno la Mungu, wewe unazungumzia 'huko kanisani'... Mnaongelea vitu viwili tofauti, ipo tofauti ya kuokoka na kusali kwa walokole. Ukishika neno la Mungu kama mdau alivyosema hakika utapona
Hakuna watu wanafki kama hao wanaojiita wameokoka.
 
Mara nyingi nikikuta nyuzi za hivi hua najikuta naenda kupimwa. Kesho Magomeni pananihusu...
 
Kinachotakiwa ni wewe kulishika, kuhusu nani analishika sio kazi yako. Huo utetezi wa kusema si kila aliyepata hakushika neno ni utetezi wa kipuuzi...ni sawa na kuendesha gari ovyo eti si kila aliyepata ajali aliendesha ovyo
 
Kila nikiangalia mabaka ya miguuni siyaoni.
 
Kinachotakiwa ni wewe kulishika, kuhusu nani analishika sio kazi yako. Huo utetezi wa kusema si kila aliyepata hakushika neno ni utetezi wa kipuuzi...ni sawa na kuendesha gari ovyo eti si kila aliyepata ajali aliendesha ovyo
Kumjua nani kalishika inakuwa kazi yako hasa unapotafuta mwenza wa maisha yako au unapoishi na mwenza wako.

Hivi unajua kuna wakina mama wengi pamoja na kumjua Mungu,waaminifu lakini ugonjwa huu wameletewa na waume zao,hivyo hivyo kwa wanawame unayajua haya?

Sasa utasema hawa wamepata ugonjwa huu sababu hawajalijua neno la Mungu au hawajamshika Mungu?

Kuna watu wepata huu ugonjwa sio kwamba walikuwa wazinzi NO na kuokoka au kulishika neno la Mungu sio kwamba eti hutapata magonjwa NO.
 
Umerudia hoja ile ile ambayo nimeshakujibu, kwa hiyo tusitumie net kwa sababu kifo kipo tu usipokufa kwa malaria utakufa kwa kipindupindu?
 
Umerudia hoja ile ile ambayo nimeshakujibu, kwa hiyo tusitumie net kwa sababu kifo kipo tu usipokufa kwa malaria utakufa kwa kipindupindu?
Sijarudia hoja bali nimepinga kusema walio athirika hawakulishika neno la Mungu na wewe nime kushangaa kusema utetezi wa kijinga,manake kama unacoclude wathirika wote hawakulishika neno la Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…