Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Too sad...tangulia kamanda...tangulia mbele kamanda
Warioba Ni shiiiiiiiida.
Tutakukumbuka kwa mengi mema na mabaya na akili zako tata
ilibidi jana ahudhurie sherehe za kusimikwa kwa kamanda wa UVCCM wilaya ya nyasa bwana kasiani njowoka
hata hivyo hajahudhuria hiyo jana kwani taarifa zilisema kwa sababu ya ugonjwa . kuhusu kifo mleta mada aeleze vizuri
Naunganisha alicholeta mtoa mada.....Capt.John Komba Mbunge wa CCM Mbinga ameeaga dunia.......Source....Mleta Mada....Mode umeona hiyo habari ?
Kama unaiacha pasipo kuhakikiwa tutasimamishwa mahakamani muda si mrefu.
JF siyo jumba la uzushi......Hebu mpigie Spika atuthibitishie kabla hatujaenda hewani.....ama laa iondoe haraka sana!