TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Ukitaka kujua makundi ndani ya ccm yamefika pabaya wakati kuna wanaoomboleza wapo miongoni mwao wanasherekea kifo cha capt komba ...eti tu kwakuwa hakuwa akiwaunga mkono .....waanaona ni kama askari wa adui kafa .......

Sasa sijui tuseme rip nani .......

Ila kwa wastaarabu ...tunaungana kuomboleza msiba huuu
 
Those who are born from above long to be there. Death to a believer is the release from the imprisonment of this world and his departure is the enjoyment of another world. R. I. P Captain Komba
 
RIP Captain.Komba ;nitakukumbuka kwa sauti yako tamu katika tungo zako maridhawa
 
ilibidi jana ahudhurie sherehe za kusimikwa kwa kamanda wa UVCCM wilaya ya nyasa bwana kasiani njowoka

hata hivyo hajahudhuria hiyo jana kwani taarifa zilisema kwa sababu ya ugonjwa . kuhusu kifo mleta mada aeleze vizuri

ccm kuna makamanda au magamba?
 
Naunganisha alicholeta mtoa mada.....Capt.John Komba Mbunge wa CCM Mbinga ameeaga dunia.......Source....Mleta Mada....Mode umeona hiyo habari ?

Kama unaiacha pasipo kuhakikiwa tutasimamishwa mahakamani muda si mrefu.

JF siyo jumba la uzushi......Hebu mpigie Spika atuthibitishie kabla hatujaenda hewani.....ama laa iondoe haraka sana!

Habari ya kweli mkuu, mbona vyombo kibao vya habari vimetangaza
 
Mmmh, ama kweli maisha ni sawa na maua asubuhi huchanua na kupendeza sana na jioni hunyauka na kisha kufa!!....Hatukusikia hata kama aliugua, lakini ymtunasikia kifo chake tu!!

Laiti km wafu wangekuwa wanafufuka, huyu bwana ni mjumbe mzuri wa kutoka kuzimu kuwaletea CCM ujumbe wa ukweli wa kifo chao kwa ujumla kwa sbb labda ujumbe ukiletwa na huyu aliyekwisha onja mauti, basi wataamini kuwa kifo chao cha kisiasa ni dhahiri!

RIP Capt. John Komba!
 
Malipo hapahapa duniani,jinsi alivyomtukana Mzee Warioba sidhani kama mungu atamsamehe
 
Hii habari imenisikitisha SANA na imeniondolea mood za weekend.poleni SANA wafiwa nd waltz wenzangu kwa msiba huu
 
Back
Top Bottom