TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Pumzika Kwa Amani(P.K.A) John Komba. Kuanzia sasa msitumie R.I.P badala yake tumieni P.K.A
 
Our political and ideological differences aside, Captain Komba will always be a LEGEND AND ICON IN THE MUSIC INDUSTRY. Rest In Peace John Komba!

hapo kwenye herufi kubwa hapo! Ni kweli, muziki aliuweza ila siasa sidhani.
 
Hii nchi waliikuta na wataiacha...mambo ya kuhisi wao ndo wenye hisa na nchi hii yana kikoma...huyu komba alikua mshiriki mkubwa wa kumtukana judge walioba ktk bunge la katiba,sasa ona amefariki akiwa hata ajajindikishe kupinga kura ktk mfumo mpya..hili ni funzo kwa kina makonda na kina chenge..mungu anamakusudi yake,amefariki akiwa ata kabla ya kujua ataenda kupigana pori lipi..before he thought of kiling our daughters and son,God has shown him the way,ts true death is certain,n may the almight forgive him hs sins.
 
Je alikuwa anasumbuliwa na nn na alipelekwa hospital lini.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Amen
 
Alijiita wa MUYAYA , akasahau kwamba wa muyaya ni Mungu. na JK alipofika songea naye akawaambia wananchi kwamba komba wa muyaya .
 
Heart attack? Too bad. May his soul rest in eternal peace

If there is anyone here who pretend that he did not see a heart attack coming, that will be very very strange.

What his death may mean, at least we can say that the dirtiest page of Tanzanian entertainment has come to an end. Nilikuwa nakasirishwa sana alivyokuwa ana-fund TOT kwa hela za Mpakanjia, hadi nikasema kama mwalimu angejua nyimbo za kumuombeleza zilikotaka na hela za ajabu labda angefufuka.
 
CCM wamepata pigo kubwa mno. Kampeni safari hii mdororo
 
Ngoja atangulie.

Kila roho itaonja mauti.

Hata uwe mjanja kiasi gani, uwe unatukana sana wenzako, uwe na kiburi cha pesa eti milioni 10 za kununulia mboga, mara hivyo ni vijisenti tu BUT MWISHO WA SIKU UTALALA MAVUMBINI-MWISHO WA MARINGO NA KIBURI
 
Hakika kila nafsi itaonja mauti. Kwake tumetoka na kwake tutarejea.
 
Back
Top Bottom