TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

poleni sana ndugu zangu wa chiwindi, upale,ng'ombo, chimate, kwambe, mtipwili, chiulu,ndengele,chinula,kilosa, kwa msiba wa ndugu etu. BAMBO AKOMBA MUENDE PAMTENDELE ULENDO WA KUMWAMBA. AMEN.
 
Sasa hivi cheo chake ni Marehemu Captain John Damian Komba.
 
Ule unene kula kula hovyo uhuni na madeni ya benki angepona vipi. RIP
 
Well,sikubaliani na Captain Komba kwa mwenendo wake kisiasa miaka ya hivi karibuni,lakini nakumbuka jinsi mfalme Daudi alivyoomboleza kifo cha mfalme Sauli(aliyetaka kumwua) na kumzika kwa heshima zote.Kuna somo la kimaadili natoa hapa Jf.Tulimkosoa sana Komba humu alipokuwa hai.This time hatusikii tena.Nitaufundisha mabaya moyo wangu mwenyewe iwapo nitatumia nafasi hii ya kutoa pole kwa kumtusi marehemu.Mtu akiwa hai tunaweza ku-attack personality pia,lakini akishakufa,ni vema kukosoa yale aliyoyafanya tena kwa wakati mwingine,katika mijadala mingine,sio hapa pa kutolea pole.Tuwe na uungwana wadau.JF is so big!Baada ya kusema hayo,kofia yangu nikiivua,nasema,I SALUTE YOU CAPTAIN!Thank you for your service.Goodbye.
 
RIP John! May your soul rest in peace! Ila hiii isitufanye kusahau ishu ya albino! Manake Tz kwa kusahau vitu! Mhhhhhh
 
Dalili za anguko kuu la CCM zina anza kuonekana. RIP Komba next RIP CCM.
 
Kuna wimbo mpya katunga. Eebanee ukiimbwa wakati wa kampeni, watu wataichagua tena ccm.
 
What coincidences on ITV today 1730 – 18:05?
  • Alikuwa akihojiwa HADIJA KOPA kwenye kipindi cha taarabu. Akasema ToT ni kama IMEKUFA na anasubiri mafao yake.
  • Ikaja Breaking news kuwa JOHN KOMBA, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mbunge wa Mbinga Magharibi AMEFARIKI Dunia.
  • Akaja tena Hadija akielezea juu ya huzuni ya KUFIWA na wapendwa wake ambao ni mme na mwanae. Akawa anatoa MACHOZI huku akisindikizwa na mtangazaji wa kipindi hicho.
  • Likafuata tangazo likimwonyesha LULU akitangaza shindano la magari la Airtel.
  • Ikamaliziwa na kipindi cha habari za hapa na pale zikirudia tena tangazo la msiba wa KAPTENI.

RIP CAPTAIN KOMBA
 
Back
Top Bottom