TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

R.I.P Komba...msiba huu umenifundisha kwamba usimtabirie mwenzio kifo hata kama ni mzee au mgonjwa, utatangulia wewe
 
Nimestushwa sana na taarifa ya kifo cha ghafla cha Mhe Capt John Komba Mbunge wa Nyasa. Taifa limepoteza kiongozi asiyeyumba katika yale yote aliyokuwa anayaamini! Chama kimempoteza mkereketwa wa kweli na Chiriku nambari one wa CCM. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Membe.
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.yeye huchanua kama vile ua kisha hukatwa, hukimbia kama kivuli waka hakai kamwe.AYUBU 14- 1,2...
 
Nimestushwa sana na taarifa ya kifo cha ghafla cha Mhe Capt John Komba Mbunge wa Nyasa. Taifa limepoteza kiongozi asiyeyumba katika yale yote aliyokuwa anayaamini! Chama kimempoteza mkereketwa wa kweli na Chiriku nambari one wa CCM. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Membe.

Acheni kusikitika lakufanya ni tahadhari kuwa MSIFANYE MAMBO MKIDHANI KUWA MTAISHI MILELE.
 
alimtukana mzee wangu warioba.............Nadhani Mungu Ameamuamua kumutolea tamko.
Nimecheka hadi watu wakageuka kuniangalia manake hawakujua kama nadurusu JF! Kwamba Mungu kaamua kumtolea tamko kama alivyosema kwamba wamtolee tamko Mzee Waryoba!
 
Back
Top Bottom