TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

ccm, ccm eeeeeeeeeeeeeee chama chama cha mapinduzi ccm namba one
na watoto wanajua......ccm namba one
na wapinzani wanajua ccm namba one
wakina mama wanajua ccm namba one
na vijana wajua ccm namba one

ccm ccm eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chama cha mapinduzi ccm namba one.
 
TANZIA:

Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.

CCM na EATV(East Africa Television) Wameandika kwenye twitter yao.


attachment.php


Poleni familia ya ccm
Poleni familia ya Komba
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe.
Inasikitisha tu kwamba Komba amefariki kabla ya kwenda msituni maana Tanganyika inakuja na katiba ya Chenge haipiti
 
Yaani ccm wanatakiwa kujitafakari ...yaani hizi comments za humu zinaonyesha wazi kabisa jinsi ambavyo watu wamechefukwa na chama twawala
 
hii habari imenishtua sana...kifo hakizoeleki jamani..kila nafsi itaionja mauti....vijana wenzangu tuupokee msiba huu kwa utulivu mkubwa

Kwani taarifa zako zaidi kiintelijensia zinaonyesha utulivu utatoweka?
 
siku zote huwa nasema kuna watu unaweza kuwaona ukadhani ni binadamu,wengine wamebaki kuwa kama misukule inayotembea mfano wake ni yeriko nyerere,huwezi shangilia kifo cha binadamu mwenzako hata kama ulikuwa humpendi,ni afadhali kukaa kimyaa kuliko kuandika ujinga then unajiita msomi,taahira wa mwituni
 
Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili hasa kutokana na matendo yake hapa duniani , kiukweli hili ni pigo kubwa sana kwa ccm , nani atatunga nyimbo za kurubuni wananchi ?

Daimond na Omary Nyembo
 
Khaa!! Unajua huyu alikuwa ccm kama wengine walioko cdm, cuf nk ndiyo sehemu waliyokuwa wanapata meals zao. Ni mpum bavu tu atakaye fikiri vinginevyo
 
Back
Top Bottom