TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Jamani nakumbuka capt john komba alisema mtu wa mwisho kumwimbia ccm..ccm..ccmmmm atakuwa lowassa .so sad
 
Samahani mleta mada,ulikusudia kwenye heading kuandika Tanzania au?
 
Mbunge wa mbinga magharibi mh Capt. John Komba amefariki dunia mchana wa leo chanzo cha kifo chake bado sijakinyaka vizuri.
 
Samahani mleta mada,ulikusudia kwenye heading kuandika Tanzania au?

Ahah mwenzangu umbea ulizidi nilitaka kusema Tanzia, hahahaha

Aseeh kuna picha za marehemu nimetumiwa sijui nizirushiee...main nawashwa kweli apa ...yani maiti imevimba hatarii...
 
poleni sana wafiwa,poleni wana Mbinga,wana CCM wote na watanzania kwa ujumla.Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina la Bwana lihimidiwe.
 
Ahah mwenzangu umbea ulizidi nilitaka kusema Tanzia, hahahaha

Aseeh kuna picha za marehemu nimetumiwa sijui nizirushiee...main nawashwa kweli apa ...yani maiti imevimba hatarii...

Hapana! Usizirushe zitadondoka!
 
Ahah mwenzangu umbea ulizidi nilitaka kusema Tanzia, hahahaha

Aseeh kuna picha za marehemu nimetumiwa sijui nizirushiee...main nawashwa kweli apa ...yani maiti imevimba hatarii...

Usirushe aisee. Kuwa fair kwa deceased.
 
ajifie zake, ajiondokee atuachie taifa lenye amani

mungu amweke panapostahili

pole kwa wafiwa
 
Huu ni muda muafaka kwa sisi tuliobakia hai tuendende na kufanya mema yale Mwenyezi Mungu anayopendezwa nayo.Ndugu yangu husidanganyike na mali za Dunia,dhahabu za Dunia ,vyeo na madaraka ya Dunia.Tujitahidi kweli mahangaiko yetu ya kila siku kumtanguliza Mungu.Kwani Mungu kwa imani yangu ni UPENDO.Tubadilike na kuangalia watanzania wanataka nini na sio ushabiki bila kuangalia ukweli.Simama kwenye ukweli na Mwenyezi Mungu atatuma malaika wake hapo siku ya mwisho waje na kukupongeza na kukupeleka kwenye mangojeo yaliyowekwa kwa ajili ya watenda mema.Tubadilike na tuache legacy nzuri nyuma.RIP JOHN KOMBA.MUNGU NDIE ANAYEJUA NA ATAKAYE HUKUMU KWA HAKI.AMEN
 
Nimeshtushwa sana na hbr za kifo cha komba, kweli dunia mapito. APEPE komba!
 
Back
Top Bottom