TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia


Ama kweli Dunia ni mapito .............. tutende haki, tuache tamaa za utajiri wa kufuru ..... tusaidiane ......TUMUOGOPE MUNGU ......... kuna watanzania wanaohangaika na kazi ngumu kipato kidogo ....... na wako wanaolala kwa kukosa chakula na wachache wanapata mlo mmoja kwa siku.... lakini wapo wanaotumia mamiliono kwa MBOGA TU ...... na kujilimbikizia ...... MUNGU wasaidie wa TZ .......................R. I. P. Capt. JOHN KOMBA
 
Hao wanaojikusanyia fedha kwa dhuluma, watambue kuwa watakufa, na wataenda bila chochote..


Everyone of us will die empty!!!
 
Daah!! Haya mbele yake nyuma yetu. Akalipwe anachostahili.
 
Ataulizwa kwa mungu pesa zetu kapeleka wap r.i.p uliye jaza tumbo lako bila kutizama wenye njaa na shida.tumbo deni la dunia marejesho yaamwisho ndo kifo linajazwa na udongo.
 
Back
Top Bottom