TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Kumekuwa na kawaida ya kutokea matukio ya vifo vya wanasiasa kuelekea chaguzi mbalimbali nchini Tanzania. Uzi huu umetengwa mahsusi kuweka rekodi za matukio hayo kwa lengo la kufanya tathmini.

1. Mh. John Komba - Heart Attack - 29 Feb 2015

Leo ni tarehe 29 Feb 2015? Weka vizuri kumbukumbu yako.
 

Hilo lako kwa lugha rahisi linaitwa unafiki, wewe utaongeaje kitu ambacho roho yako inapingana nacho? Kumbe pole yako inabidi tuihoji maana haieleweki kuwa umesema pole kuonesha usomi wako au umesema pole toka rohoni,
 
presha za kuuziwa nyumba na kupigwa chini ubunge.
 
Kifo hakichagui CCM wala Chadema, hakuna mwenye uwezo wa kukwepa kifo. Wote tupo katika safari moja. Kila nafsi itaonja mauti.


Tunaposubiri hiyo siku ambayo hatuijui tuwe waadilifu/waaminifu kwa taifa hili na Mungu. Daima matendo na maneno yetu yadhihirishe haki na kweli kwa manufaa ya watanzania.

Enyi wanasiasa na wananchi wote kwa jumla mwaka huu nchi inapotakiwa kutekeleza uandikishaji wa wapiga kura, kura ya maamuzi kuhusu katiba mpya na uchaguzi mkuu tutende haki. Hakuna haja ya kufanya udanganyifu maana hata tukipata madaraka na utajiri tutakufa na kuviacha vyote hivyo. Ni afadhali ufe masikini kama Nyerere lakini ukakumbukwa kwa kutenda haki.

RIP Komba
 
Weka na wahasibu au kada nyingine ili tupate kujua kama kweli wanaokufa ni wanasiasa zaid kuelekea uchaguzi!!!!
 
Dah.! pumnzika salama mzee naona umeamua kuingia msituni mapema kama ulivyo sema
 

Jamani Watanzania tunaishi katika utani ...Nadhani watani Za wangoniiiii ...Leo WATAKUA na mengi ya kutaniana ...
Wangoniiiii ni Kina Zuma ...kwa Hiyo he can do anything to win a woman ....so tusimlaumu please ...!!, ni Kama Umlaum MZARAMO ngomani ...

Kwa Kweli kwa namna alivyokitetea chama hasa kampeni Za Rais Kikwete ...Mkapa ..Mwinyi ..wabunge wengi ..chama kwa ujumla....walimkubali kwa mema yake ..ingetakiwa wamkubali na kwa madhaifu yake ........
Wewe fikiria anawaambia nini watoto wake .....pale ambapo Mali zote alizochuma zinapigwaaaa Mnada ...na wezake wanashindwa angalau kumsaidia watoto wake wasimlaumu.....
Inauma Sana Kama Mzazi Mali zinauZwa Watoto wamekuwa wakubwa ...wanakughasi kwa nini Mali Za familia zinauzwa ..na marafiki uliowasaidia wakitambua madhaifu yako ....wana kuacha kwa kuwa tu katoa msimamo tofauti
 
Dah! nasomaga biblia mara chache sana labda nusu page kila baada ya miezi 7 ila kuna baadhi ya maneno huwa nayakumbuka kama hili hapa: "yaliyofichwa uvunguni ipo siku yataanikwa jamvini kwenye mataa ya ubungo" (naomba kukosolewa)......Komba(R.I...): "nikupe shilingi ngapi uniachie demu wako"
 
Mungu ailaze pema peponi roho ya John Komba. Nawaombea faraja wafiwa wote familia, ndugu na jamaa na wote ambao wameguswa na msiba huu. Amen.
 
Vijana wa CHADEMA jifunzeni kuwa kila mtu atakufa. Hata hao mnaowaona kama malaika lazima waonje mauti.

Vijana wa Chadema ....wanaojua hawawezi kumponda ....kwakuwa kwa Sasa familia yote yaKomba ni CHADEMA ...Komba peke yake Ndio alikuwa amebaki ccm ...lakini alimuunga mkono Lowassa ...kitu ambacho hakikuwafurahisha wenye makali ...waakaamua kumuacha afilisiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…