GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inasemekana Mh.Komba alimtungia Mwalimu Nyerere nyimbo kabla ya kufariki
Vipi Na Yeye Hakujitungia Nyimbo Zake Ili Zipigwe Kuanzia Leo Tuweze Kumkumbuka Vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana Mh.Komba alimtungia Mwalimu Nyerere nyimbo kabla ya kufariki
Kumekuwa na kawaida ya kutokea matukio ya vifo vya wanasiasa kuelekea chaguzi mbalimbali nchini Tanzania. Uzi huu umetengwa mahsusi kuweka rekodi za matukio hayo kwa lengo la kufanya tathmini.
1. Mh. John Komba - Heart Attack - 29 Feb 2015
siku zote huwa nasema kuna watu unaweza kuwaona ukadhani ni binadamu,wengine wamebaki kuwa kama misukule inayotembea mfano wake ni yeriko nyerere,huwezi shangilia kifo cha binadamu mwenzako hata kama ulikuwa humpendi,ni afadhali kukaa kimyaa kuliko kuandika ujinga then unajiita msomi,taahira wa mwituni
wakuu ndo yule alisema ataenda mstituni au?
Kifo hakichagui CCM wala Chadema, hakuna mwenye uwezo wa kukwepa kifo. Wote tupo katika safari moja. Kila nafsi itaonja mauti.
Ilu mbona iko vuzuri.
mkuu kama unasongi la komba kwenye sherehe za miaka 38 ya magamba tunaomba utuwekee hapa mkuuWe ni mtu mjinga. Subiri Kamanda LEMA akifariki ndipo ufanye hii mizaha yako.
Hicho Ndicho Kikubwa Kwani Madeni Yalimzidi Mno Na Ilikuwa Ni Leo Ambapo Ule Uwanja Wake Mkubwa Uliopo Sehemu Nzuri Kibiashara Maeneo Ya Basihaya Upigwe MNADA Kisha Zifuatie Na Nyumba Zake Na Mali Zake Sasa Kwa Mtaji Huo Kuna Cha Kuishi Kweli? Jamaa Pesa Zake Zote Za Mikopo Kazitumia Vibaya Na Madada Zetu Na Mademu Zetu Na Najua Msanii Elizabeth Michael a.k.a LULU Atakuwa Ameumia Mno Kwani Ile Nyumba Kubwa Aishiyo Yeye Na Mama Yake Mbezi Kimara Marehemu Ndiyo Kasababisha Achilia Mbali Vinchechede Vingine. Huyu Jamaa Hakika Sitamsahau Pale Ambapo Alipomwita Rafiki Yangu Mmoja Maeneo Ya Kawe Na Kumwambia Ampe Shilingi Ngapi Ili Aachane Na Demu Wake Kisha Yeye ( Marehemu ) Amchukue......Hivyo Ni Baadhi Tu Ya Visa Vyake. Nipo Sasa Hapa Maeneo Karibu Kabisa Na Nyumbani Kwake Na Kuna NYOMI Ya VIP Na Sisi Watoto Wa Kitaa Cha Mbezi. Sasa Ni Wakati Wa Watoto Wake Kukatana Mapanga Kwa Kugombania Mali Za Urithi Ambazo Hata Hivyo Nyingi Zitapigwa Tu MNADA Hata Kama Karesti Ini Pisi!
Dah! nasomaga biblia mara chache sana labda nusu page kila baada ya miezi 7 ila kuna baadhi ya maneno huwa nayakumbuka kama hili hapa: "yaliyofichwa uvunguni ipo siku yataanikwa jamvini kwenye mataa ya ubungo" (naomba kukosolewa)......Komba(R.I...): "nikupe shilingi ngapi uniachie demu wako"Hicho Ndicho Kikubwa Kwani Madeni Yalimzidi Mno Na Ilikuwa Ni Leo Ambapo Ule Uwanja Wake Mkubwa Uliopo Sehemu Nzuri Kibiashara Maeneo Ya Basihaya Upigwe MNADA Kisha Zifuatie Na Nyumba Zake Na Mali Zake Sasa Kwa Mtaji Huo Kuna Cha Kuishi Kweli? Jamaa Pesa Zake Zote Za Mikopo Kazitumia Vibaya Na Madada Zetu Na Mademu Zetu Na Najua Msanii Elizabeth Michael a.k.a LULU Atakuwa Ameumia Mno Kwani Ile Nyumba Kubwa Aishiyo Yeye Na Mama Yake Mbezi Kimara Marehemu Ndiyo Kasababisha Achilia Mbali Vinchechede Vingine. Huyu Jamaa Hakika Sitamsahau Pale Ambapo Alipomwita Rafiki Yangu Mmoja Maeneo Ya Kawe Na Kumwambia Ampe Shilingi Ngapi Ili Aachane Na Demu Wake Kisha Yeye ( Marehemu ) Amchukue......Hivyo Ni Baadhi Tu Ya Visa Vyake. Nipo Sasa Hapa Maeneo Karibu Kabisa Na Nyumbani Kwake Na Kuna NYOMI Ya VIP Na Sisi Watoto Wa Kitaa Cha Mbezi. Sasa Ni Wakati Wa Watoto Wake Kukatana Mapanga Kwa Kugombania Mali Za Urithi Ambazo Hata Hivyo Nyingi Zitapigwa Tu MNADA Hata Kama Karesti Ini Pisi!
Sasa lile deni letu CRDB tunalokudai itakuaje??
Vijana wa CHADEMA jifunzeni kuwa kila mtu atakufa. Hata hao mnaowaona kama malaika lazima waonje mauti.