Mweeee! !!!!!!! Speechless .
Komba aliimba nyimbo za kuomboleza za baba wa taifa ambazo ziligusa hisia za watanzania na ziliwafanya watanzania walie na kutoa machozi nikiwa mmoja wapo.
Mwaka huu nani atakaengoza choir ya chama chetu kwenye kampen jamani?kutakuwa hakuna wahudhuriaji,any way Mungu amlaze pema.
mwenzenu sijui nikoje... nikisikia msiba huwa nasikitika sana hata kwa nisie mjua. but kwa komba sijui kwa nini sisikii kuguswa kabisa na huu msiba.. yaani naona kawaida tu! dah tufanye yaliyo mema wakati wa uhai wetu bandugu ili tuache positive legacy tutakapo pumzika.
RIP Komba... but haitoki moyoni WHY!!??
Ndo naelekea eneo la tukio
Leo ni tarehe 29 Feb 2015? Weka vizuri kumbukumbu yako.
Hahahaaa Uwiiiiii jamani warumi nimecheka sana.