TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

mwenzenu sijui nikoje... nikisikia msiba huwa nasikitika sana hata kwa nisie mjua. but kwa komba sijui kwa nini sisikii kuguswa kabisa na huu msiba.. yaani naona kawaida tu! dah tufanye yaliyo mema wakati wa uhai wetu bandugu ili tuache positive legacy tutakapo pumzika.

RIP Komba... but haitoki moyoni WHY!!??
 
Kwa wale wasema hovyo na wenye midomo isiyo na staha waliobakia CCM hiki kifo kinaweza kuwa wakati mzuri wa kutafakari mambo yao ya dhihaka na kejeli wanazowafanyia Watanzania kama vile wao wana hati miliki ya hii nchi.

Pumzika kwa Amani Mzee Komba.
 
Komba aliimba nyimbo za kuomboleza za baba wa taifa ambazo ziligusa hisia za watanzania na ziliwafanya watanzania walie na kutoa machozi nikiwa mmoja wapo.

ndo mana mnafeli mitihani kwa kutofata maelekezo. Umeambiwa hoja nzito aloitoa bungeni we unaleta habari za nyimbo
 
Mkuu ndio kuna jambo la kujifunza apo unadhani angetangulia mzee wetu Warioba (Mungu aepushilie mbali) asilimia kubwa ya watanzania wangeshangilia hivi?
 
mwenzenu sijui nikoje... nikisikia msiba huwa nasikitika sana hata kwa nisie mjua. but kwa komba sijui kwa nini sisikii kuguswa kabisa na huu msiba.. yaani naona kawaida tu! dah tufanye yaliyo mema wakati wa uhai wetu bandugu ili tuache positive legacy tutakapo pumzika.

RIP Komba... but haitoki moyoni WHY!!??

yani wewe kama mimi sijui kwanini najilazimisha kuwa na huzuni lakini wapi
 
By the way, huyu ndiye aliyesema Upinzani ukichukua nchi ataingia msituni? Naona Mungu mwenyewe ameingilia kati kwa kuwaepushia watanzania balaa! Any way! Rest in peace Captain!
 
Kama alikuwa ovyo lazima isemwe..... Kila mtu atakufa huna haja ya kuogopa kifo tunatembea nacho.... Aende zake......
 
Hahahaaa Uwiiiiii jamani warumi nimecheka sana.

Eeh imenibidi nishtuke khaa marehemu uso umemvimba kama wamemuweka amira

Ila eti nasikia kafa kwa presha alikuwa anadaiwa mil 700 wakataka kuuza nyumba yake ya Mbezi ndio bwana yule presha sijui BP au kisukari atajua mwenyewe Aliko Uko , ndo chanzo cha kifo chake nasikia..ila swali je komba alikuwa MTU Wa kukosa mil 600? Mimi na wewe hatuyajui ebu ngoja niingie misitu ya mabopande nikachukue umbea zaidi
 
Last edited by a moderator:
Tuheshimu msiba, tumuombee a R.I.P.
TUSAHAU YA NYUMA
 
Back
Top Bottom