TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Eheeeee....Pigo kubwa kwenye utunzi wa nyimbo za kampeni 2015...Mungu amlaze pema peponi captain jamani.
 
Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili hasa kutokana na matendo yake hapa duniani , kiukweli hili ni pigo kubwa sana kwa ccm , nani atatunga nyimbo za kurubuni wananchi ?
 
Kweli..Mungu amlaze pema peponi
 
Apumzike kwa amani kapten komba.
 
Mungu amweke panapo sitahili kulingana na maisha yake,sijui nani atawaimbia ccm mwaka huu,inatia huruma sana
 
Kuna habr mzee kapten komba hatunaye tena...sina habari zaidi ya hapo
 
Nani atamwimbia Lowasa kipindi cha campain?

Dah! Huyo jamaa ni mdhoofu kuliko marehemu. Hata hivyo, tumwachie Mungu mtenda miujiza, inshallah atapata mwingine wa kumwimbia badala ya Komba (RIP).
 
Captain Komba jaman... Duniani tunapita tu aisee Mbele yake Nyuma yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…