Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Magamba sijui wataimbiwa na nani!!!!?
Mmmh...sijui ndo kaingia msituni....r.i.p komba
Lowasa amepata pigo kubwa sanaMtu wa Lowassa kaondoka huyu.
Mungu wangu sijui alishajitungia nyimbo zake watu wamuimbie
atakuwa ameingia msituni kama alivyoahidi!!hebu mungu aangalie anakostahili kuwekwa jamani.